Tafsiri ya Kiongozi Bora

TXGA

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
244
325
Kiongozi bora ni yupi?

Ni yule anaweza kuliunganisha Taifa bila kujali, dini, kabila, rangi, ukanda, itikadi n.k. Ni yule anaweza kuzimamia Rasilimali za Taifa kuwanufaisha wananchi wa Taifa husika. Mwenye kuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu.

Hatuhitaji viongozi ambao ni madadali wa rasilimali za nchi husika.
 
Labda ni Mwalimu na Mwinyi kiasi ndiyo hawakuwa madalali (kiasi). Kuanzia Mkapa hadi Magufuli walifanya udalali, zile kauli za mimi mzalendo ni kauli tu ila kwenye makaratasi (MIKATABA) tayari hatuna chetu.

Magufuli aliishi kwenye kauli ambazo mfumo haukumpa nafasi kuzitenda. Ndiyo maana watu walisema kwa nini MIKATABA inyosemwa tunaibiwa isiwekwe wazi kujadiliwa na Bunge!!

Ndugu nchi hii siyo ya mtu (Rais) bali ni mali ya mfumo wa hovyo wa CCM (Madalali wa rasilimali zetu). Magufuli aliumia na umasikini ambao yeye alikuwa sehemu ya mfumo kuutengeneza!

Tuna kila aina ya rasimali hapa Tanzania miaka yote ya uhai wa Taifa, CCM bado inaomba kujengewa matundu ya vyoo na kupewa vyandarua!

Tatizo siyo Rais bali mfumo wote wa CCM (Chapa ya Serikali), hata tukipewa yule PM wa Malaysia kuwa Rais ila akazungukwa na akili hizi za CCM hakuna kitu tutafanya.
 
Uraia na Maadili (zamani Uraia) darasa la sita mada ya demokrasia
Great leaders are those once who acts at best interest of their Nation and their people no matter what.....For example the Great Nelson Mandela during apartheid regime ....
 
Great leaders are those once who acts at best interest of their Nation and their people no matter what.....For example the Great Nelson Mandela during apartheid regime ....
Kila siku mimi huwa najiuliza maswali, being selfish ni laana ya Waafrika ambayo inahitaji toba ama vip??kiongozi unajisikiaje kuishi maisha ya anasa nakujisikia fahari kuishi katikati maskini milioni 55 unaowangoza ?? and u feel comfortable ??
 
Hawa wanaoharibu nchi ndiyo hao ambao walisoma huo uraia wako pamoja na kupitia JKT lakini ndiyo walafi wakubwa.
Nilikuwa namjibu swali alilouliza tu mkuu... au wewe hujaona swali lake pale juu? Ameuliza sifa za kiongozi bora ni zipi ndo nikamsaidia akasome huko zilikoandikwa
 
Back
Top Bottom