Tafsiri ya K.K.K.T

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
3,197
3,930
Jamaa yangu mmoja wa karibu katumiwa SMS, toka kwa rafiki yake wa karibu muda mfupi ulopita nayo inasomeka hivi:

"Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, usharika wa Loliondo umetoa tafsiri ya Kirefu cha KKKT, kuwa ni; Kunywa Kikombe Kimoja Tu"

Binafsi, sikuipenda hii lakini nimeichukulia kama ni jokes!
 
Basi hamishia jukwaa stahili
 
Kama binafsi umegundua ni jokes unangoja nini? pelekea huko kabla sija...........
 
jamaa yangu mmoja wa karibu katumiwa sms, toka kwa rafiki yake wa karibu muda mfupi ulopita nayo inasomeka hivi:

"kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania, usharika wa loliondo umetoa tafsiri ya kirefu cha kkkt, kuwa ni; kunywa kikombe kimoja tu"

binafsi, sikuipenda hii lakini nimeichukulia kama ni jokes!

ushafua nguo za shule ??
 
Sikujua kama senior member anaweza kubandika huu uzandiki hapa, peleka jukwaa la utani plz
 
Jamaa yangu mmoja wa karibu katumiwa SMS, toka kwa rafiki yake wa karibu muda mfupi ulopita nayo inasomeka hivi:

"Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, usharika wa Loliondo umetoa tafsiri ya Kirefu cha KKKT, kuwa ni; Kunywa Kikombe Kimoja Tu"

Binafsi, sikuipenda hii lakini nimeichukulia kama ni jokes!

dogo sio fresh kuweka picha ya mzazi kwenye avator yako hapo ....badilisha na mnunulie hata kitanda basi na kanga mpya
 
Back
Top Bottom