Tafsiri ya JWTZ inaendani na matendo yake?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Neno JWTZ kama hujawahi liona, ukiliona kwa mara ya kwanza hakika utajisifu na kujitukuza utanzania wako!
Laki tafsiri yake kivitendo imekuwa ni ya kutisha kama si kuhatarisha amani ya nchi hii!
Kikatiba jeshi hili ni mali ya watz na ndio wenye mamlaka ya mwisho kabisa!
Lakini wale tuliowapa dhamana ya kutuongoza wametuzuia katakata tusihoji wala kuchungulia kinachofanywa na jeshi hili!

Meremeta -masuala ya usalama
Shimbo- juhudi za kulizima zinazaa matunda

Ndugu wana jf mwenye ufafanuzi juu ya hili atujuze!!!
 
Duh! Hii gia uliyoingia nayo ni kali sana. Zile habari za shimbo zimesimamishwa kwa hiyo we subiri tu uchunguzi zaidi unafanyika maana najua ulizikosa au unataka data zaidi umechoka kusubiri. Subiri tu wakizima zipo nyingine!
 
<br />
<br />
Jamii ya watz haihitaji hadithi, inahitaji vitendo ilianza kuhadithiwa tangu december 1961 na tanu mpaka leo hii ccm inawapa hadithi!
 
mambo ya meremeta na ufisadi mwingine umetuletea fedheha mbaya sana duniani. Kila mtu anatudhalau na kuiona nchi yetu ni mahala pa kuiba, Matokeo yake Nchi za asia zinazidi kujaza wawekelezaji ambao huita ndugu zao kufanya kazi katika miradi yao huku sisi tukiwa hatuna kazi. kenya Uganda na Rwanda ndio hao huzidi kutucheka na wanatucheka kila kukicha. Hii himaya ya watu wa namna hii itakufa tuu na wao kusakwa kama ndezi.
 
Ni bora lingeitwa Jeshi la Watawala wa Tanzania pamoja na usalama wa taifa tumshauri JK abadili jina auite Usalama wa viongozi na watawala,haya majina yanaendana na dhima nzima ya taasisi hizi mbili kubwa kwa sasa
 
Hivi mnategemea nini, kama mawaziri ndio wezi namba moja, kina Jairo ndio wana changisha pesa mchana kweupe, wanajeshi waondio kina nani wasiibe!!??, tena wao ni wauaji kitaaluma, nguvu na zana wanazo.

msemo wa Chukua chako Mapema unazidi kudhihirika
 
mambo ya meremeta na ufisadi mwingine umetuletea fedheha mbaya sana duniani. Kila mtu anatudhalau na kuiona nchi yetu ni mahala pa kuiba, Matokeo yake Nchi za asia zinazidi kujaza wawekelezaji ambao huita ndugu zao kufanya kazi katika miradi yao huku sisi tukiwa hatuna kazi. kenya Uganda na Rwanda ndio hao huzidi kutucheka na wanatucheka kila kukicha. Hii himaya ya watu wa namna hii itakufa tuu na wao kusakwa kama ndezi.
<br />
<br />
dah umeongea ya maana sana....
 
Back
Top Bottom