lipi sawa "SASISHA" au "SASAISHA"
Kwa kuwa "valid" ina maana ya "halali" basi "validate" haiwezi kuwa sahihisha, bali "halalisha"na pia tafsiri ya "VALIDATE" nimeona kwingi ikitumika "sahihisha" lakini kwa maoni yangu itakuwa "to correct"
Kwa hiyo, tafsiri ya "Validation failed" itakuwa ni vipi?
Uhalalishaji shinde
halalishi imeshindwa
Uhalalishaji, matokeo batili
ama .......