Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

MM, hata kama chadema tumeongeza wanachama active mara kumi ya wale wa 2010 bado tuna wapiga kura wachache kwa sababu daftari la kudumu la wapiga kura halijafanyiwa marekebisho.
Unazani tangu 2010 mpaka sasa ni wangapi wametimiza maika 18 hasa ukizingatia chadema inaungwa mkono na vijana zaidi??

NB: weka mbali na watoto.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kwani hili la daftari la wapiga kura limegundulika Jumapili ya leo Octoba 28th kiasi cha kuwa issue? Mbona lilishazungumzwa kabla ya uchaguzi mdogo uliofuatia baada ya 2010? Mbona limerudiwa Igunga, likarudiwa Arumeru Mashariki na sehemu nyingine? Mfumo huu mbona ndio uliokuwepo kabla ya 2010. CDM wana akili timamu tu walipoenda kwenye chaguzi zote hizi ndogo walijua kabisa kuwa daftari la wapiga kura halijaboreshwa na hakuna sheria inayotaka liboreshwe kabla ya uchaguzi mdogo. Hii siyo hoja tena.
 
Kwenye eneo la hizo kata 29, ongezeko la kata za CDM ni 150%. Maana percentage CHANGE ni ongezeko divide by original times 100. Hivyo ndivyo ilivyo. Kama kitu kilikuwa kinauzwa shilingi mbili na sasa kinauzwa shilingi tano basi bei imeongezeka kwa asilimia 150 na si vinginevyo. Ebo!

Kinachohitajika ni CDM kuwa na REDIO. Ni lazima redio, tena ya kusikika nchi nzima. Sisi wasomi tumewaelewa sana CDM, na uchaguzi ungefanyika vyuoni CDM ingechukua kila kitu. Vijijini bado sana, na bila redio hata 2015 itakuwa vigumu. Chopa sawa, lakini redio itasikika kila siku.
 
Shida yako ni kubishana badala ya kulenga kuelewa.

Au hiki ni kihindi?

Ongezeko la viti 3 linafanya jumla iwe viti vitano ambayo ni sawa na ongezeko la 60% au nini usichoelewa hapo?

Haya ngoja nikwambie ki-Kata School.

CDM walikuwa na viti 2 na baadaye vikaongezeka viti 3 kwa hiyo jumla ni viti 5.

Viti 3 kati ya jumla ya viti 5 ni ongezeko la 60%.

Karibu international school
AAAAAAhh!! nishaelewa!!
 
Kwani mara ngapi CHADEMA inatuambia kuwa wamevuna wanachama wengi kutoka CCM, na kama wengi wao wapo kwenye daftari la kupiga kura then how comes kwenye uchaguzi wasiwaunge mkono?

Na kwa nguvu kubwa mliyotumia kuhamasisha wananchi wawaunge mkono tangu 2010 hadi sasa lazima mkubali kuwa jitihada zenu hazijazaa matunda na inawezekana wananchi wamewaona nyinyi ni wababaishaji sera zenu hazitekelezeki.

[b=bold]M4C has turned to be M4D (Movement For Death) [/b]
 
Mzee Mwanakijiji unazidi kuwachoma hawa Pro Chadema, hata mimi nashangaa kuona swala la Daftari la Kupiga Kura leo kuwa ni Issue sana, wakati waliposhinda Arumeru hawakuongea chochote wanakuja kushtuka leo. Si ajabu hata Dr. Slaa kesho akiongea na vyombo vya habari atarudia hayahaya ya dafatri la kupiga kura na si ajabu akasema wasimamizi wao na makarani wao walihongwa.
 
Nina washukuru sana makamanda wote waliojitahidi usiku na mchana mpaka leo tunashinda kwenye kata good move. Wanachama na wapenzi wote wa CDM sio rahisi kuleta ushindi kama tutakuwa tunaongea tu kwenye media na mitandao ya kijamii. Lazima tushiriki vijijini na kila kaya. Nilitembelea vijiji kadhaa nchini bado wengi hawajapata habari kamili.

Nafikiri kuna haja ya kutengeneza kundi kubwa la ardhini kata kwa kata lenye nguvu kubwa sana na litakalo kaa huku kwa muda ili kujenga chama ngazi ya kijiji na kuhakikisha wanachama waliojiandikisha kupiga kura na wale waliopo tayari kujiandikisha kupiga kura. Twendeni kubadili zoezi la kuwa na wanachama wenye kadi za kupigia kura. Kijiji kwa kijiji.

Ushindi wetu ni ushindi mzuri hatua ni hatua.

Chief Mkwawa wa Kalenga
Tutashinda ukiacha kulalamika na kuwa sehemu ya utatuzi.
 
Namna nyingine ya kuangalia ni kuwa labda ujumbe wa CDM bado haujaeleweka sana, haujakubalika, au haujafikika vizuri kwa wananchi.

Kama watu wangekuwa wanapima hamasa, na mikutano ya watu na jinsi ambavyo CDM jina lake limekuwa saturated kwenye jamii ya Watanzania ni wazi kuwa matokeo haya yalitakiwa yawe CCM viti 5 na CDM viti hivyo vingine. Matokeo haya yanaakisi yale ya Uchaguzi Mkuu ambapo pamoja na mengi sana CDM haikuweza hata kushinda viti 50 vya ubunge licha ya jina lake kutangaa sana mwaka 2010.

Jambo ambalo ni la hatari (kwa chama cha siasa) ni kuangalia "nje" yake kama sababu ya kutofanya vizuri zaidi. Kama CCM ikiwa dhaifu namna hii bado inaweza kushinda, itakuwaje ikija kupata nguvu?

Kuna mmoja jana alileta mada hapa yenye kuonyesha mikutano ya hitimisho la kampeni za udiwani kanda ya kaskazini, akionyesha angle ndogo ya waliohudhuria CCM na picha yenye upeo mkubwa wa waliohudhuria mkutano wa Chadema. Nilitahadharisha kwamba tuwe wawzi katika kuleta habari kwa sababu ya kuchagua angle ndogo ya picha kwa malengo ya kudanganya umma na kesho tukaona matokeo ya uchaguzi kuwa kinyume. Nilisema wazi mikuano ya CCM wahudhuriaji asilimia 75 ni wapiga kura na mikutano ya Chadema wahudhuriaji 75 ni mashabiki ambao hawataipigia kura Chadema. Aliyeleta mada lifoka hapa na kupandisha mori lakini ukweli ndio huu.

Chadema wanatakiwa kubadili mbinu za kujitanua badala ya mikutano ya kupata wanachama majukwaani ni upambe tu. Wareremke toka majukwaani na waende huko mitaani ndiko iliko hazina ya wapiga kura. Si lazima kuwa na mikutano, lakini kutembelea nyumba kwa nyumba toka mtaa hadi mtaa inaweza kuwa kampeni kubwa kuliko kuvimbisha mishipa jukwaani na kuja kukosa viti vilivyotegemewa kupata.

Chama Cha Chadema kilivyo na jina na kuonekana kukubalika, ingekuwa kheri kama matokeo yangekuwa nusu kwa nusu, lakini la kujipongeza kupata viti vitano kati ya 29 kuna maswali mengi ya kujiuliza. Kwa bahati uchuguzi huu umetoka katikati ya muhula na ni kipimo cha kuweza kuangalia hali ilivyo na kuamua kubadilisha mbinu za kujitanua, lakini kwa hili la sasa tuseme wazi Chadema imeanguka katika uchaguzi huu kwa vile matokeo ni kinyume cha mategemeo ya Chadema, wananchi na hata pia wapinzani wao wakubwa CCM.

Jambo la msingi viongozi wa juu/kitaifa wanatakiwa kujenga msingi wa kuwa waelewa na kushaurika, wasijione wako juu zaidi na kudanganywa na umati wa wahudhuriaji ambao pengine wengi hata hawana vitambulisho vya mpiga kura, ni kama kushabikia timu uwanjani tu. Yamedokezwa mambo kadhaa kuhusu uongozi chadema, kuweni flexable, umangimeza wanaosema lets stop, buni mbinu mpya ya kuongeza wanachama matawini, punguzeni maandamano haya tija na pengine yanapoteza muda wa watu kuwajibika kazini, zungukeni vijijini si kufungua matawi tu ila kupata zaidi wanachama ambao itakuwa source ya kupata wapiga kura.

CCM unapotokea uchaguzi wo wote, tathmini yao ni wanachama wao walio nao ambao ni source ya hakika kupata kura, toka hapo wanaongezea wapita njia. Chadema wanaangalia umati unaofurika mkutanoni bila tathmini ya wanachama wenye ku-cast ballot in the box. Siku ya kupiga kura wanaojitokeza zaidi ni wapiga kura wa CCM huku Chadema mashabiki wao wakibaki mitaani kwa sababu mbalimbali ikiwepo kwamba hufika mikutanoni kiushabiki bila kuwa wakereketwa wa kukipigia kura chama wanachokishabikia.

Wasikate tamaa, unyenyekevu, ustahimilivu, usikivu mkienda vijijini ndiko mtakako pata wapiga kura. Chaguzi nyingi za vijijini Chadema wameanguka kwa sababu ni chama cha mijini. Maandamano hayana tina kwani yanavuta mashabiki si wakereketwa, nendeni vijijini mtaa kwa mtaa kusaka wapiga kura.

Kwenye eneo la hizo kata 29, ongezeko la kata za CDM ni 150%. Maana percentage CHANGE ni ongezeko divide by original times 100. Hivyo ndivyo ilivyo. Kama kitu kilikuwa kinauzwa shilingi mbili na sasa kinauzwa shilingi tano basi bei imeongezeka kwa asilimia 150 na si vinginevyo. Ebo!

Kinachohitajika ni CDM kuwa na REDIO. Ni lazima redio, tena ya kusikika nchi nzima. Sisi wasomi tumewaelewa sana CDM, na uchaguzi ungefanyika vyuoni CDM ingechukua kila kitu. Vijijini bado sana, na bila redio hata 2015 itakuwa vigumu. Chopa sawa, lakini redio itasikika kila siku.

[colour=blue]Haahhahahahahaahaha mkuu umetisha sana mi nadhani hilo ni ongezeko kubwa sana lazima Mbowe na Dr. Slaa wakjipongeze kwa mafanikio makubwa ya M4C kwani imeleta matunda, kuhusu swala la Radio mi nadhani haitatosha labda waanzishe TV yao na kila Mwananchi apewe TV yake hapo itasaidia sana kupata news za chadema mwanzo mwisho.[/colour]
 
Namna nyingine ya kuangalia ni kuwa labda ujumbe wa CDM bado haujaeleweka sana, haujakubalika, au haujafikika vizuri kwa wananchi.

Kama watu wangekuwa wanapima hamasa, na mikutano ya watu na jinsi ambavyo CDM jina lake limekuwa saturated kwenye jamii ya Watanzania ni wazi kuwa matokeo haya yalitakiwa yawe CCM viti 5 na CDM viti hivyo vingine. Matokeo haya yanaakisi yale ya Uchaguzi Mkuu ambapo pamoja na mengi sana CDM haikuweza hata kushinda viti 50 vya ubunge licha ya jina lake kutangaa sana mwaka 2010.

Jambo ambalo ni la hatari (kwa chama cha siasa) ni kuangalia "nje" yake kama sababu ya kutofanya vizuri zaidi. Kama CCM ikiwa dhaifu namna hii bado inaweza kushinda, itakuwaje ikija kupata nguvu?

Inawezekana kuwa ni kweli CDM kwa macho ya haraka na yakikawaida haikufanya vizuri lakini kumbukeni kuwa wapiga kura ni wale wale wa 2010 hakuna assume ongezeko sana sana wamepungua by death na wengine kutopiga. That means waliobadilika from CCM ku-opt CDM ni wengi by about 11% huku waliotoka CDM kwenda CCM ni 0%. Lakini kumbuka CCM wamepoteza imani ya potential voters wake by 11% huku CDM katika ile ile universal set ime convice wale ambao hawakuwa wanawakubali by 11%..

Kwa wale wanaojua mahesabu ya population hiyo ni habari mbaya sana kwa CCM kuliko hizo percent (absolute 11%) unayoiona....Maana kuna mambo ya exponential growth na geometric growth ambapo kuna kitu kina itwa silent increase (invisible) ndiyo maana kwenye population unaambiwa ita double ama triple baada ya muda fulani..Nini maana yake hao walioikubali CDM ukichanganya na wale ambao hawakuenda kupiga kura (ambao walikuwa wengi 2010 na wengine wameongezeka safari hii) plus wale ambao ni associate wa wale 11% i.e relatives friends na children ambao walikuwa below 18 by the time kura ilipopigwa 2010; ukifanya hizo hesabu ndicho hicho Dr. Kitila alicho report hapo....

Lakini pia hii ni changamoto kwa CDM kwamba kuna factor ambayo wasipoiangalia bado raia wako na social capital kubwa na hivyo hizo informal contracts za rushwa ili kupigiwa kura in form of promises and materials lazima zitafutiwe dawa...Habari mbaya kwa CCM hiyo dawa inajulikana ndani ya CDM and in no time CCM ita cramble kama Mbuyu uangukavyo unapooza kwenye mizizi.....
 
Kwani hili la daftari la wapiga kura limegundulika Jumapili ya leo Octoba 28th kiasi cha kuwa issue? Mbona lilishazungumzwa kabla ya uchaguzi mdogo uliofuatia baada ya 2010? Mbona limerudiwa Igunga, likarudiwa Arumeru Mashariki na sehemu nyingine? Mfumo huu mbona ndio uliokuwepo kabla ya 2010. CDM wana akili timamu tu walipoenda kwenye chaguzi zote hizi ndogo walijua kabisa kuwa daftari la wapiga kura halijaboreshwa na hakuna sheria inayotaka liboreshwe kabla ya uchaguzi mdogo. Hii siyo hoja tena.

MM,mwenye jukumu la kupendekeza maboresho ni nani?serikali inayoongozwa na ccm (ambao wameshinda viti vingi) au wapinzani?naona kama unawapa huo mzigo chadema!
 
Kwani mara ngapi CHADEMA inatuambia kuwa wamevuna wanachama wengi kutoka CCM, na kama wengi wao wapo kwenye daftari la kupiga kura then how comes kwenye uchaguzi wasiwaunge mkono?

Na kwa nguvu kubwa mliyotumia kuhamasisha wananchi wawaunge mkono tangu 2010 hadi sasa lazima mkubali kuwa jitihada zenu hazijazaa matunda na inawezekana wananchi wamewaona nyinyi ni wababaishaji sera zenu hazitekelezeki.

[b=bold]M4C has turned to be M4D (Movement For Death) [/b]

Heche alijichimia kanda ya ziwa na kuonekana kwenye mikutano mingi, huku mamia kwa mamia wakijiuna uanachama na wengie kuhama toka CCM, lakini hakuna hata diwani mmoja aliyeambulia, na ukiangalia gharama zilizotumika ni kubwa. Hilo wanaliona? Chadema wanatumia zaidi nguvu bila maarifa. Wanatakiwa kubadilika la sivyo kushika dola 2015 itabaki kuwa ndoto ya kufikirika.
 
Kuna mmoja jana alileta mada hapa yenye kuonyesha mikutano ya hitimisho la kampeni za udiwani kanda ya kaskazini, akionyesha angle ndogo ya waliohudhuria CCM na picha yenye upeo mkubwa wa waliohudhuria mkutano wa Chadema. Nilitahadharisha kwamba tuwe wawzi katika kuleta habari kwa sababu ya kuchagua angle ndogo ya picha kwa malengo ya kudanganya umma na kesho tukaona matokeo ya uchaguzi kuwa kinyume. Nilisema wazi mikuano ya CCM wahudhuriaji asilimia 75 ni wapiga kura na mikutano ya Chadema wahudhuriaji 75 ni mashabiki ambao hawataipigia kura Chadema. Aliyeleta mada lifoka hapa na kupandisha mori lakini ukweli ndio huu.

Chadema wanatakiwa kubadili mbinu za kujitanua badala ya mikutano ya kupata wanachama majukwaani ni upambe tu. Wareremke toka majukwaani na waende huko mitaani ndiko iliko hazina ya wapiga kura. Si lazima kuwa na mikutano, lakini kutembelea nyumba kwa nyumba toka mtaa hadi mtaa inaweza kuwa kampeni kubwa kuliko kuvimbisha mishipa jukwaani na kuja kukosa viti vilivyotegemewa kupata.

Chama Cha Chadema kilivyo na jina na kuonekana kukubalika, ingekuwa kheri kama matokeo yangekuwa nusu kwa nusu, lakini la kujipongeza kupata viti vitano kati ya 29 kuna maswali mengi ya kujiuliza. Kwa bahati uchuguzi huu umetoka katikati ya muhula na ni kipimo cha kuweza kuangalia hali ilivyo na kuamua kubadilisha mbinu za kujitanua, lakini kwa hili la sasa tuseme wazi Chadema imeanguka katika uchaguzi huu kwa vile matokeo ni kinyume cha mategemeo ya Chadema, wananchi na hata pia wapinzani wao wakubwa CCM.

Jambo la msingi viongozi wa juu/kitaifa wanatakiwa kujenga msingi wa kuwa waelewa na kushaurika, wasijione wako juu zaidi na kudanganywa na umati wa wahudhuriaji ambao pengine wengi hata hawana vitambulisho vya mpiga kura, ni kama kushabikia timu uwanjani tu. Yamedokezwa mambo kadhaa kuhusu uongozi chadema, kuweni flexable, umangimeza wanaosema lets stop, buni mbinu mpya ya kuongeza wanachama matawini, punguzeni maandamano haya tija na pengine yanapoteza muda wa watu kuwajibika kazini, zungukeni vijijini si kufungua matawi tu ila kupata zaidi wanachama ambao itakuwa source ya kupata wapiga kura.

CCM unapotokea uchaguzi wo wote, tathmini yao ni wanachama wao walio nao ambao ni source ya hakika kupata kura, toka hapo wanaongezea wapita njia. Chadema wanaangalia umati unaofurika mkutanoni bila tathmini ya wanachama wenye ku-cast ballot in the box. Siku ya kupiga kura wanaojitokeza zaidi ni wapiga kura wa CCM huku Chadema mashabiki wao wakibaki mitaani kwa sababu mbalimbali ikiwepo kwamba hufika mikutanoni kiushabiki bila kuwa wakereketwa wa kukipigia kura chama wanachokishabikia.

Wasikate tamaa, unyenyekevu, ustahimilivu, usikivu mkienda vijijini ndiko mtakako pata wapiga kura. Chaguzi nyingi za vijijini Chadema wameanguka kwa sababu ni chama cha mijini. Maandamano hayana tina kwani yanavuta mashabiki si wakereketwa, nendeni vijijini mtaa kwa mtaa kusaka wapiga kura.

Pokea LIKE zangu 100
Umangimeza, Maandamano na M4C inaenda kuiiua CHADEMA
 
Let me tell you ny friends in CDM no backing off..always move ahead no matter what we are not going to give in and we are not going to give up...Kama mafisadi kwakukazana tu wanaweza kubadilisha mambo iweje sisi tunaosimama na dhamira njema? We are moving forward kama kamanda wetu Mbowe anavyotuambia ukiona Mbowe kapigwa risasi nyie mnisogeze pembeni lakini msiache kusonga mbele...This saying is very great..We should not be moved by what we see or hear but by what we believe in, that nia tunayo sababu tunayo na uwezo tunao so if we keep our spirit on and continue to focus where we are heading we will at the end reach to our destiny sooner or later.....
 
Inawezekana kuwa ni kweli CDM kwa macho ya haraka na yakikawaida haikufanya vizuri lakini kumbukeni kuwa wapiga kura ni wale wale wa 2010 hakuna assume ongezeko sana sana wamepungua by death na wengine kutopiga. That means waliobadilika from CCM ku-opt CDM ni wengi by about 11% huku waliotoka CDM kwenda CCM ni 0%. Lakini kumbuka CCM wamepoteza imani ya potential voters wake by 11% huku CDM katika ile ile universal set ime convice wale ambao hawakuwa wanawakubali by 11%..

Kwa wale wanaojua mahesabu ya population hiyo ni habari mbaya sana kwa CCM kuliko hizo percent (absolute 11%) unayoiona....Maana kuna mambo ya exponential growth na geometric growth ambapo kuna kitu kina itwa silent increase (invisible) ndiyo maana kwenye population unaambiwa ita double ama triple baada ya muda fulani..Nini maana yake hao walioikubali CDM ukichanganya na wale ambao hawakuenda kupiga kura (ambao walikuwa wengi 2010 na wengine wameongezeka safari hii) plus wale ambao ni associate wa wale 11% i.e relatives friends na children ambao walikuwa below 18 by the time kura ilipopigwa 2010; ukifanya hizo hesabu ndicho hicho Dr. Kitila alicho report hapo....

Lakini pia hii ni changamoto kwa CDM kwamba kuna factor ambayo wasipoiangalia bado raia wako na social capital kubwa na hivyo hizo informal contracts za rushwa ili kupigiwa kura in form of promises and materials lazima zitafutiwe dawa...Habari mbaya kwa CCM hiyo dawa inajulikana ndani ya CDM and in no time CCM ita cramble kama Mbuyu uangukavyo unapooza kwenye mizizi.....

Mkuu umetisha sana hakika wewe ni Mathematician ila kitu kimoja ambacho unatakiwa kujua wao CCM wanapiga mahesabu yao kwa kuhesabu visoda tu ndio maana wanashinda, hayo maswala ya exponential sijui universal set wao hawajui.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Shida yako ni kubishana badala ya kulenga kuelewa.

Au hiki ni kihindi?

Ongezeko la viti 3 linafanya jumla iwe viti vitano ambayo ni sawa na ongezeko la 60% au nini usichoelewa hapo?

Haya ngoja nikwambie ki-Kata School.

CDM walikuwa na viti 2 na baadaye vikaongezeka viti 3 kwa hiyo jumla ni viti 5.

Viti 3 kati ya jumla ya viti 5 ni ongezeko la 60%.

Karibu international school

Hizo hesabu ni simplistic sana..Kwa maana hasa ya kimahesabu haitakiwi kuwa hivyo maana hawahesabu so direct like that japo majibu yote yanaonyesha marginal increment kuwa positive....Ila kwa wana mahesabu ya population statistics watakufanyia percentage increase kwakutumia incremental factor ambayo ndiyo hiyo 11%. So unachukua ile basic number ya population waliopiga mwaka jana unatoa wale ambao wamepungua divide by total 2010 ya waliopiga then una multiply by increamental factor ya 11% and the whole thing in bracket multiplied by 0.01 ndiyo utapata hiyo percent kama kichwa hakijazeeka na kusahau mahesabu ya compaounding and discounting...

Na bado katika hili principle number ni waliopiga 2010 less ambao hawakupiga safari hii..Bado wale reserve hawajingizwa ambao ndiyo wanaoleta exponential factor..
 
Msijidanganye ccm kupata viti25 nA cdm viti5 kuwa cdm mnapanda huo ni ujinga pamoja na kuikosoa ccm saana na kuisema kwa kila baya halafu mnaambulia viti5 huko c kujipa moyo tambueni kuwa wananchi wAmeanza kuona upinzani mnaofanya c wa kweli ni uzushi na mna ajenda za hatari sana kwa Watanzania , tunahitaji upinzani lkn c wa aina ya CDM
 
Let me tell you ny friends in CDM no backing off..always move ahead no matter what we are not going to give in and we are not going to give up...Kama mafisadi kwakukazana tu wanaweza kubadilisha mambo iweje sisi tunaosimama na dhamira njema? We are moving forward kama kamanda wetu Mbowe anavyotuambia ukiona Mbowe kapigwa risasi nyie mnisogeze pembeni lakini msiache kusonga mbele...This saying is very great..We should not be moved by what we see or hear but by what we believe in, that nia tunayo sababu tunayo na uwezo tunao so if we keep our spirit on and continue to focus where we are heading we will at the end reach to our destiny sooner or later.....

The problem is, at the time you think on moving forward with M4C, Mbowe, Slaa and Zitto think on how they should participate in this movement to capitalize individual political popularity for the sake of Presidency by the year 2015.
Therefore they are no longer focusing on building reputation for the party and attract Political Faith from the entire Community.
N.B: Top Leaders are no longer together Ideologically and Visionarly for the broader interest of the Party, It is only the matter of Time before you recognize the truth
 
hahaha Mwana Mtoka Pabaya you make my nigth kwa kweli, teh teh teh
Shule ya kata haikukufundisha hesabu au wewe ni wa Visiwa vya Zimbabwe?

Kutoka viti viwili mpaka vitano ni ongezeko la asilimia 60.

3/5 x 100 = 60%

CCM, walikuwa na viti 27 wamenyang'anywa vitatu na hilo ni anguko kwa asilimia 11.1

3/27 x 100 = 11.1%

Bado huelewi?
 
Kwani hili la daftari la wapiga kura limegundulika Jumapili ya leo Octoba 28th kiasi cha kuwa issue? Mbona lilishazungumzwa kabla ya uchaguzi mdogo uliofuatia baada ya 2010? Mbona limerudiwa Igunga, likarudiwa Arumeru Mashariki na sehemu nyingine? Mfumo huu mbona ndio uliokuwepo kabla ya 2010. CDM wana akili timamu tu walipoenda kwenye chaguzi zote hizi ndogo walijua kabisa kuwa daftari la wapiga kura halijaboreshwa na hakuna sheria inayotaka liboreshwe kabla ya uchaguzi mdogo. Hii siyo hoja tena.

Mzee Mwanakijiji,

Nakubaliana nawe kuwa uboreshwaji wa daftari la wapiga kura ni ISSUE iliyojitokeza sana kwenye chaguzi Ndogo toka 2010 na Hata Nyuma ya hapo BUT je tunaikataa sababu ambayo ni obvious kabisa kwa sababu tu imekuwa ikitokeza Mara kwa Mara AU tungeikataa kwa sababu ilikwisha patiwa ufumbuzi na haipo tena? Sijakuelewa msingi wa kusema sio sababu tena! Eti sio Hoja tena kwasababu eti! Inajirudia rudia! To me that urguement is very incredible sir!
 
Back
Top Bottom