Tafsiri fasaha ya intern doctors ni madaktari wanaoongeza uzoefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafsiri fasaha ya intern doctors ni madaktari wanaoongeza uzoefu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by yeto, Jan 29, 2012.

 1. y

  yeto Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  Katika tafsiri ambazo naona kila mmoja anaongea lake ni maana ya itern doctors
  baadhi wanasema madaktari waliokuwa kwenye mazoezi ya vitendo ingawa tafsiri ndio naona kama imefanywa rasmi ila naona ina upungufu

  Madakatari hawa wameanza kufanya mazoezi.ya vitendo toka mwaka wa tatu au wanne kutegemeana na chuo walichosoma je ni sawa kunamuita anafanya mazoezi je clinical officers na AMO( ambao serikali inawaita madokta wakimaliza 2 years training na wala hawafanyi intern wawaiteje)
  Bado kuna magazeti yanatotumia lugha ya madaktari waliomafunzoni ambayo siyo sahihi kabisa na ikiwezekana ni ya kuchukuliwa hatua
  Mi napendekeza lugha fasaha ni madaktari wanaoongeza uzoefu wa kuhudumia wagonjwa
  mwenye tafsiri bora kuliko hiyo naomba iwasilishe kuondoa huu mkanganyiko.
  Kama hamna kiswahili chake tulitumie hivyo hivyo kama intern doctors tutazoea tu kama tulivozoea maneno mengine ya kingereza kama televisheni nk

  natanguliza shukrani
   
Loading...