Tafrija ya Komredi Kipepe

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
88
Do you all remember ile gazeti la sani with vitimbwi vya komredi kipepe??
 
Attachments

  • kipepe2.jpg
    kipepe2.jpg
    92.3 KB · Views: 247
Do you all remember ile gazeti la sani with vitimbwi vya komredi kipepe??

Mkuu Kelly01
Umenikumbusha mbali, mimi ni vile vichuchu vya wale wademu wa kipepe duh, vilikuwa vinanivutia kweli. Yaani wale ndo kuku wa kienyeji haswaaaaaaaaa
 
Mkuu Kelly01
Umenikumbusha mbali, mimi ni vile vichuchu vya wale wademu wa kipepe duh, vilikuwa vinanivutia kweli. Yaani wale ndo kuku wa kienyeji haswaaaaaaaaa

Teh Mkuu, mambo ya kula ugali kwa picha ya samaki hayo...., umenifurahisha sana.Hope umenipata!
 
Do you all remember ile gazeti la sani with vitimbwi vya komredi kipepe??

Wakati ule ilikuwa ni dhambi kukosa toleo la sani.
Dr Love (Pimbi) mjuvi wa malovedavi. Nakumbuka komredi kipepe alikuwa mchezaji machachari wa bush stars.
 
Mkuu Kelly01
Umenikumbusha mbali, mimi ni vile vichuchu vya wale wademu wa kipepe duh, vilikuwa vinanivutia kweli. Yaani wale ndo kuku wa kienyeji haswaaaaaaaaa

Oops I am not a man i am definetely a senorita my lord.. I know utakuwa umeghafirika siyo mbaya...just to clarify i am a she.

...........................................Hapo ndipo foramu inapochosha!!!
 
Lol Beef la Zena na Betina lile lilikuwa kiboko kama Donald Trump na Rose O'donnor.

Walikuwa wanampigania shotiii a.k.a Dr. Love, right? hehehhe, dizaini Zena (big mama) ndio alikuwa mamsap, Betina(supamodo) alikuwa kimada, lol !
 
Back
Top Bottom