TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

Tatizo ukiwa mfupi kila jambo ufanyalo unahisi hawakuoni sasa inabidi ufanye kituko ili uonekane.
Asilimia kubwa ya wanawake wasumbufu ni wale mbilikimo wengi wao ni single mother.
Ila asilimia kubwa ya wanawake wenye waume zao ni hawa warefu yaani wavumilivu watu wa mipango na kutunza familia.
Wafupi waelevu wapo ila ni wachache wengi pasua vichwa .
exactly mkuu
 
Sio wanawake tu
Hata wanaume wafupi wana matatizo mengi mengi
Sijui hata kuna uhusiano gani Ila wengi wao ni shida tupu!
 
Tatizo ukiwa mfupi kila jambo ufanyalo unahisi hawakuoni sasa inabidi ufanye kituko ili uonekane.
Asilimia kubwa ya wanawake wasumbufu ni wale mbilikimo wengi wao ni single mother.
Ila asilimia kubwa ya wanawake wenye waume zao ni hawa warefu yaani wavumilivu watu wa mipango na kutunza familia.
Wafupi waelevu wapo ila ni wachache wengi pasua vichwa .
Agiza kinywaji popote ulipo nakuja kulipa.
 
Tatizo ukiwa mfupi kila jambo ufanyalo unahisi hawakuoni sasa inabidi ufanye kituko ili uonekane.
Asilimia kubwa ya wanawake wasumbufu ni wale mbilikimo wengi wao ni single mother.
Ila asilimia kubwa ya wanawake wenye waume zao ni hawa warefu yaani wavumilivu watu wa mipango na kutunza familia.
Wafupi waelevu wapo ila ni wachache wengi pasua vichwa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom