TAFITI : WANAWAKE HUPENDA MARA MMOJA TU KATIKA MAISHA YAO.

Ok basi kama mlikuwa mwapendana kuna shaka labda kishaonja vyenye chumvi na vinavyomfurahisha yy kama yy....there are simething wrong my dear,akili zetu twazijua wenyewe na boxer zetu.
Ha haaa nilishasema sieleweki
 
Kuna msichana tulipendana sana wakat tuko prmry,sec then kila mtu akawa na maisha yake but tukapotezana 19 yrs lakin tumekuja onana anasema nitabak kuwa namba moja kwake na akanitunuku heshima japo yupo katika ndoa
 
Ok basi kama mlikuwa mwapendana kuna shaka labda kishaonja vyenye chumvi na vinavyomfurahisha yy kama yy....there are simething wrong my dear,akili zetu twazijua wenyewe na boxer zetu.
😀😀😀 May be
 
64320824_420888421838173_5159403638405201920_n.jpg
HAWA NDIO WATAFITI?
 
Wengi wanapenda kipindi wanatolewa bikra, bikra hutolewa wakiwa wadogo sana. Hii ina Maana wengi wao hawana mapenzi kwenye ndoa zao.
 
Back
Top Bottom