Tafiti juu ya nyama ya kunguru

Nyama ya kunguru ina faida zifuatazo ..

-Kuongeza makalio na hips kwa wanawake
-kusimamisha matiti
-Kuongeza sperm kwa wanaume
-Kuimarisha tendo la ndoa

Onyo: ulaji wa kunguru ni hatari kwa afya..tafadhali kula kistaarabu.
 
Haramu kwa mwenye kuona Haramu, kama huoni uharamu ni halali kwako.

Simamia na mengine mengi, sio mambo ya kushibisha tumbo na kujenga afya.
 
Wewe kwenu hakuna wakubwa ..
Nan kakwambia Nguruwe haramu ..
Hata Nguruwe sip haramu Shira ni kwamba hatujaamua Kula kunguru ..
Unabishana na Mungu?

Mkubwa kasema sasa bishana nae

Aliyeniambia ni haramu huyu hapa

Isaya 65

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,

2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;

3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;

4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;

5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.

6 Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
 
Kumbe wewe mweusi? Sasa why unajisikia vibaya kuwa mweusi?
Naona huna hoja umebaki kupayuka

Lakin Mungu aliyekataza kula hao scavenger anasema hivi

Back
Top Bottom