But mind kuna latin maxim isemayo: res ipsa loquitur which literally translates "the thing speaks for itself,". Inaweza isiwe applicable hapa per se, but the context makes sense anyway! Have a nice day!Bahati nzuri nina insiders ndani ya upper echelons za vyama upinzani. Wanachokiongea ndani miongoni mwao kuhusu Rais Magufuli, CCM na Serikali sicho wanachojua wafuasi wao walio mitandaoni na mtaani.
Uzuri wa Philosophy, usipoelewa ndio unakuwa umeelewa! Have a nice day to you too!But mind kuna latin maxim isemayo: res ipsa loquitur which literally translates "the thing speaks for itself,". Inaweza isiwe applicable hapa per se, but the context makes sense anyway! Have a nice day!
Aiseeeee sikujuaUzuri wa Philosophy, usipoelewa ndio unakuwa umeelewa! Have a nice day to you too!
😂 😂 hiyo ya 'the high priest' naona ametabasamu kabisa.
Hapa unazuga tu mkuu, unaonyesha kuandika kitu usichokifahamu.Bahati nzuri nina insiders ndani ya upper echelons za vyama upinzani. Wanachokiongea ndani miongoni mwao kuhusu Rais Magufuli, CCM na Serikali sicho wanachojua wafuasi wao walio mitandaoni na mtaani.
Basi sawa.Hapa unazuga tu mkuu, unaonyesha kuandika kitu usichokifahamu.
Huyu jamaa katuzidi akili na mabavu watanzania zaidi ya 54,000000+