Tafakuri ya leo: Kukaa kimya ni jibu la hekima kwa mwenye busara

Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
2,281
3,973
Jambo lolote zuri au baya, la uzushi na uongo kukuhusu wewe, na hakika yake ni hiyo, hakuna sababu ya kutunisha mishipa ya shingo kulipigia kelele, kukaa kimya ni jibu la hekima kwa mwenye busara.

Ukishindwa kunyamaza, litolee tu ufafanuzi kwa kauli na lugha fasaha ili wanaodhani ni la kweli waamini ni uzushi na uongo.

Mungu awe nanyiiii.
 
Kukaa kimya ni dhambi,
Kulipa kisasi ni haki.

Mungu kakuumba kwa mfano wake, kwa Nini ukubali Mungu aonewe?
 
Jambo lolote zuri au baya, la uzushi na uongo kukuhusu wewe, na hakika yake ni hiyo, hakuna sababu ya kutunisha mishipa ya shingo kulipigia kelele, kukaa kimya ni jibu la hekima kwa mwenye busara.

Ukishindwa kunyamaza, litolee tu ufafanuzi kwa kauli na lugha fasaha ili wanaodhani ni la kweli waamini ni uzushi na uongo.

Mungu awe nanyiiii.
Well said
 
Back
Top Bottom