Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,947
- 5,342
I second you....Dada Faiza .... tatizo watanzania wengi wanasiasa wanaitikadi za kuedekeza njaa zao zaidi kuliko kutetea maslahi ya wananchi tena walio masikini na wahitaji ..... bado sana
Na watanzania wengi pasi kujua au kwa kujua hujikuta wakicheza ngoma za wanasiasa bila kupata maslahi yoyote kiuchumi wala kijamii zaidi kujiongezea chuki na sonona tu.