Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Nyumbu kuelewa ni kazi ngumu Sana mkuu yaani wavaa kobazi wakisikia mwarabu huja juu Kama wanavyo wahi kula daku

Kwahiyo mnataka tuwafuate ninyi kuwachukia waarabu!!! Mimi siwezi kuwa na ndugu asiekua muislamu upo hapo!!! Niache kuwa na ndugu muislamu niwe na ndugu kama wewe mkuu!!! Nianzie wapi kuwa na undugu na wewe usie muislamu!!! Pole sana
 
Sisi tunawafahamu watu kama wewe, hilo Uarabu ni geresga tu, nyinyi manchukia Uislam na Waislam kwa kujazwa ujinga tu.

Hamtusumbui, tunafahamu ni ujinga wenu tu "ignorant s".
Huna la kuniambia wewe.
Uislamu haunisaidii lolote mimi wala haujawahi kunisaidia na wala siuhitaji.

Mada inawahusu maarabu wafukunyua mitaro
 
kama hujui waisilamu ni wengi basi fanya research uone,,

Mheshimiwa rais akiamua kufanya sensa ya dini utakimbia nchi ewe mgalatia/yahudi mweusi.
Kuna aliye mkataza kufanya sensa..nikimbie niende wapi wewe mvaa kobazi..inferiority complex zitawauwa.
Dunia sio madrasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani niache mila za Kiislam nifate mila zako za kunya na kubaki na mavi makalioni? Unanchekesha!

Unafahamu kujitoharisha wewe?
NA KUKAMULIWA waste product :NGAMA"(kukafiniwa) kabla ya kuzikwa, ila ukiwa hai unaingia nayo mpaka masjid.....🤣🤣🤣
 
NA KUKAMULIWA waste product :NGAMA"(kukafiniwa) kabla ya kuzikwa, ila ukiwa hai unaingia nayo mpaka masjid.....🤣🤣🤣
Aliyekuambiwa kukafiniwa ni kukamuliwa huyo hajui kuosha maiti. Amekudanganya. Wewe unaongelewa kukafiniwa wakati tunafahamu wasio waislam wakienda kupambwa wanatolewa utumbo wote wanajazwa mapamba tumboni, wanajazwa na ma makeup usoni na kuvalishwa ma suti na ma veli. Ujuha huo. Yesu mwenyewe kazikwa kwa sand tu, bisha.
 
Faiza Fox ,unapendelea sana mada za UDINI UDINI.🤣😅🤣🤣😁😁
 
Aaah Uislam ni Universal, hauna mwenyewe. Unajua kuwa hao wote uliowataja ni wachache sana "minority" kwenye Uislam?
Hapa unaongopa. Uislam una wenyewe nao ni Waarab kwa Sunni au Wairan kwa Shi'a.

Uislam hautenganishwi na Kiarab na Waarab. Ondoa Kiarab....hakuna Uislam

Ni nadra tena nasenma ni nadra sana asie Mwarab kuwa hata Imam msikiti wa Madina au Makkah. Hii inaonesha wazi Uislam= Uarab
 
Huujuwi Uislam na ujinga ndiyo uliokujaa.
 
Back
Top Bottom