Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Unaonesha ujinga uliosomeshwa umekujaa tele. Hata kuitazama video hujaitazama umeshapata majibu.

Hakuna Profesa wa "kidini" hapo, sema kweli tu, ujinga uliojazwa unashindwa kutumia neno Wakiislam, ndiyo hayo hayo yanayoongelewa kwenye hiyo video.
Hapana, Uislam haufundishi mtu ujinga, unamfundisha kuwa huru na kuamini kila mtu.


Tatizo Waislam wa Tanzania tulifanya dhambi kabla na baada tu ya uhuru.
 
Back
Top Bottom