FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,191
Alama Mohamed Said ameleta mabadiliko ya historia ya Tanganyika katika medani ya Uhuru na "resistance" iliyofanywa kwa juhudi kubwa ya "Vita ya majimaji" na juhudi binafsi za na nani alikuwa Mkwawa.
Historia hizo tatu kwa uchache zimetufungua macho kwa kiasi kikubwa kuelewa "role" ya wazee wetu na nani haswa walikuwa ni wazalendo wa kweli waliokataa kutawaliwa.
Kwa upande mwengine, ninapomsoma na kumsikiliza Professor Rudolph T. Ware wa USA akimwaga madini yake aliyoyafanyia utafiti wa kina, nnadiriki kusema kuwa Professor Rudolph Ware, tayari na kwa mafanikio makubwa, kama yale ya Alama Mohamed Said ameweza kubadili na anaendelea kwa juhudi kubwa sana kuweka sawa historia inayopotoshwa / iliyopotoshwa kwa namna moja au nyengine.
Naomba tumsikilize kwa umakini Professor Rudolph Ware akiiweka sawa historia ya utumwa na watumwa.