Tafakuri: Masoud Kipanya alikuwa ana maanisha nini kwenye katuni hii?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
- kipanya.jpg
 
Naona Kila mmoja kajiandaa na Pambano kikamilifu
Hapo kama namuona Trafiki anasubiri jamaa anyanyuwe mdomo tu aanze kumshambulia dereva ngumi za chembe Maana kichwani tayari kuna ulinzi.
 
Anamaanisha madereva tuwe tunajiandaa kupigwa ngumi na matrafiki kama ilivyotokea mbeya
 
Naona Kila mmoja kajiandaa na Pambano kikamilifu
Hapo kama namuona Trafiki anasubiri jamaa anyanyuwe mdomo tu aanze kumshambulia dereva ngumi za chembe Maana kichwani tayari kuna ulinzi.
We are uncivilized enough to give a reason to acts of "barbarism" by the police.
 
Siku za karibuni matrafiki wataanza kung'ata madushe ya madereva....itabidi tuanze vaa helmet chupini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom