TAFAKURI: Mabadiliko tuliyoyataka sasa yanatokea CCM

nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,370
865
Amani iwe kwenu.

Nimesikia kauli iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu Simanjiro, CHADEMA, alipokuwa anatangaza kubwaga manyanga na kujiunga na CCM, kwamba ameamua kuondoka na kujiunga na CCM kwa sababu mabadiliko ya kweli anayaona ndani ya chama hiki, nikaona si vibaya tujaribu kutafakari kidogo juu ya ama ukweli au uongo wa hoja hizi kwa mustakabali wa upinzani imara.

Zifuatazo ni baadhi tu ya hoja ambazo hutolewa, ama na wana CCM wenyewe au watu wanaohama kutoka CHADEMA kwenda CCM:

- CHADEMA wamepoteza dira.

-CHADEMA kimekuwa kichaka cha kujifichia watu `wachafu'

-CHADEMA hakioneshi nia ya dhati ya kushika dola.

CHADEMA kimefilisika hoja.

Kwa hoja hizi chache naomba tujadili, zipuuzwe ama kuna haja ya kufanya tafakuri?
Nawasilisha.
 
Fisadi moja kuu tukawakabidhi, linakiangamiza chama chenu, Edward Ngoyayi Lowassa, kuu la wakoli kazi, mtatosha tu
 
La le li lo lu
Ra re ri ro ru
Mfano,mabadiliko na si mabadiriko. Pia,kujadili na si kujadiri.Mnawahi ushabiki wa vyama mnasahau hata elimu au lugha.
uchaguzi mdogo umekuja na matokeo tofauti na wao walivyodhani, hivyo wamekuwa na hasira kali kwelikweli.
 
Amani iwe kwenu.

Nimesikia kauli iliyotolewa na aliyekuwa katibu mkuu Simanjiro, CHADEMA, alipokuwa anatangaza kubwaga manyanga na kujiunga na CCM, kwamba ameamua kuondoka na kujiunga na CCM kwa sababu mabadiliko ya kweli anayaona ndani ya chama hiki, nikaona si vibaya tujaribu kutafakari kidogo juu ya ama ukweli au uongo wa hoja hizi kwa mustakabali wa upinzani imara.

Zifuatazo ni baadhi tu ya hoja ambazo hutolewa, ama na wana CCM wenyewe au watu wanaohama kutoka CHADEMA kwenda CCM:

- CHADEMA wamepoteza dira.

-CHADEMA kimekuwa kichaka cha kujifichia watu `wachafu'

-CHADEMA hakioneshi nia ya dhati ya kushika dola.

CHADEMA kimefilisika hoja.

Kwa hoja hizi chache naomba tujadili, zipuuzwe ama kuna haja ya kufanya tafakuri?
Nawasilisha.
Wahi darasani kabla ya kuwa mwanasiasa, make bashite wote wanaccm
 
Fisadi moja kuu tukawakabidhi, linakiangamiza chama chenu, Edward Ngoyayi Lowassa, kuu la wakoli kazi, mtatosha tu
Je hayo mafisadi mengi makuu yaliyobaki ccm yanakifanyaje chama hicho? No wonder nguvu kubwa za dola imebidi zitumike kupora ushindi kwenye chaguzi ndogo tu za madiwani!
 
Udiwani hamjaporwa, sema ubunifu wa makengeza umefikia ukomo
 
Hivi hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya dola? kawa kipo kwa nini msikitumie, na kama hakipo mnaingia ktk uchaguzi kutafuta nini?
 
Back
Top Bottom