Tafakuri: Kwanini wanyama wanatofautiana maumbo kutokana na jinsia?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
Mungu anatufundisha nini hapa sisi hapa binadam? kaweka wanyama au ndege kwa Asilimia kubwa kwa wa jinsia ya kiume kuwa na maumbo makubwa na na wa kike kuwa na maumbo madogo!!

Utafiti wangu umeligundua hilo ingawa sio wote ila ni wengi wao wapo hivyo.
 
October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,702
2,000
Mkuu utafiti wako umeufanyia wapi mbona ameandika viseversa, navyojua wakike umbo kubwa wakiume ndio madogo.

Portfolio | 2020
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,999
2,000
Kwani wewe na mwamnamke mko sawa
Mungu anatufundisha nini hapa sisi hapa binadam? kaweka wanyama au ndege kwa Asilimia kubwa kwa wa jinsia ya kiume kuwa na maumbo makubwa na na wa kike kuwa na maumbo madogo!!

Utafiti wangu umeligundua hilo ingawa sio wote ila ni wengi wao wapo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,708
2,000
Okay

Nafikiri ujumbe uliopo ni kwamba jinsia ya kiume ndio inapaswa kuwa kiongozi e?sababu ina miili mikubwa mikubwa
Mwili mkubwa sio sifa ya kuwa kiongozi....Ila nimetafakari kwa kina,kwa nini ipo hivyo!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom