Hahaha umefika mwisho kufuatilia vyeti feki. Ila hii ndio Tanzania kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake Ila kwa RC kamba yake ni ya chuma na inaurefu usiopimikaInamaana KIPANYA kashaujua kua ndo mwisho wa hii skendo iliyotikisa jiji la Dar na TZ yote kwa ujumla?
View attachment 482271
Salama yake ndio muhimu kuliko salama ya watumia dawa. Au sio?.Tunataka aonyeshe vyeti ndiyo Salama yake
Hata cha ndoa inawezekana kisiwe halali.....
Unapo zama hakikisha unaibuka na samaki na siyo matope
Kama ndoa ni ya kanisani hasa Roman cathoric, lazima cheti kitakuwa na jina halisi. Na hicho kinaweza kuwa kielelezo kizuri sana mahakamani.hata cha ndoa feki hakina jina lake