Tafakari ya kiutendaji: Yesu Kristu na "baba" yake Yohane Mbatizaji: Magufuli na Wapwake zake.

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
3,337
4,664
Ni vizuri tukaendelea kujadiliana kwa upole na kwa hoja kwa ajili ya kujenga afya ya Taifa letu.Hii ni kazi ya kila Mtanzania mwenye siha njema kichwani.Tundu Lisu,ametimua vumbi la mjadala,mintarafu "kumsonta kidole" Magufuli juu ya kuchkua ndugu zake wa damu ili wamsaidie kazi! Hili jambo ni la kujadiliwa kwa utulivu.Tujadili hoja tuache kumrukia mtoa hoja.Yawezekana kweli kawasilisha hoja nzuri kwa jaziba lakini tusiangalie tumeletewa chakula katika chombo gani.Madhali chakula ni kisafi hakina inzi nasi tuna njaa basi tule.Tujadili hoja kwa sababu suala kama hilo linatokea katika jamii yetu na inaonekana kuna watu linawakwaza.

Katika Maandiko Matakatifu,tunasimuliwa jinsi Yesu Kristu alivyozaliwa.Inasimuliwa Mara baada ya Bikra Maria kupashwa habari za yeye kubeba ujauzito kwa msaada wa Roho Mtakatifu na Malaika Gabriel,baada ya muda aliondoka kwenda kumsalimia Shangazi yake aitwaye Elizabethi ambaye alikuwa mjamzito wakati huo.Yeye (Elizabethi) alikuwa na ujauzito wa miezi sita.

Kadri ya masimulizi, Baadaye,Elizabethi alijifungua mwanaye ambaye ni maarufu kwa Wakiristu kwa jina la Yohane Mbatizaji.Huyu ndiye alifanya Maandalizi muhimu na ya kwanza kwanza kabisa kwa ajili ya Yesu kufanya kazi zake.Yesu alikuja kubatizwa na Yohane Mbatizaji katika Mto Yordani.

Kama ilivyo hapa Afrika,Katika zile familia extended, Bikra Maria alikuwa anamuita Yohane Mbatizaji Kaka.Ndio ni kaka yake maana ni mtoto wa Shangazi yake.Kwa hiyo Yohane walikuwa ni mtu na Dada yake.Je,kwa Mtiririko huo huo, Yesu alikuwa anamuita Yohane nani yake? Kwa Kabila langu la Kijita/ Kikerewe,Yohane Mbatizaji alikuwa Baba wa Yesu.Sijui Makabila mengine ikoje?

Kama nilivyodokeza hapo juu Yohane Mbatizaji ndiye aliyefanya maandalizi ya kazi za Yesu Kristu.Kwa hiyo "Baba" alimuandalia "mwanae" conducive invironment ya kuja kuwajibika na kutumika.Jambo kubwa sana bila shaka katika kazi ya Ukombozi wa Mwanadamu.Majalimu wa Theolojia wanayo mengi ya kusema juu ya suala hili.Kwa ufupi,Baba alimsaidia Mwana.

Wainjili Watatu,Katika Maandiko Matakatifu: Marko,Matayo na Luka wanatueleza hata baada ya Yesu kuanza kazi rasmi aliwachagua wanafunzi wa kumsaidia kazi.Ndio wale kumi na Wawili.Waenjili hao wote watatu wanabainisha kuwa wanafunzi wa kwanza kwanza kabisa kati ya 12, kuchaguliwa walikuwa ndugu.Wa kwanza ni Petro(Simon,Kefa) na kaka yake Andrea! Waliofuata ni watoto wa Zebedayo: Yakobo na Yohane.Dhana ya undugu inajitokeza tena katika utendaji wa Mungu hapa duniani na inaendelezwa na Yesu Mwenyewe!Ni kama Yesu alikazia jambo hilo.

Katika mabadiko mengi aliyoyafanyia kazi Yesu Kristu,hili la undugu, Maandiko Matakatifu hayatuelezi iwapo aliwahi kuliona kama ni "nongwa". Fundisho ni nini? Manga'muzi tunayoyapata ni haya: Undugu ni njia tu ya kueleza jinsi tunavyotokea duniani.Ni namna tu ya kutandika Biography ya jinsi tulivyotwaa uhai wetu wa kimwili toka kwa wazazi wetu wa mwanzo kabisa (Mume na Mke). Vinginevyo jambo hilo halina umaana wowote ule.Na ndiyo kisa katika mojawapo ya ufafanuzi wake Yesu,aliwahi kuweka wazi kuwa huko Mbinguni hakuna issues za undugu:"... hakuna kuoa wala kuolewa...".

Raisi Magufuli na wengineo ama kwa kufahamu au kutofahamu ukweli huu wamejikuta wanasaidiwa kazi na ndugu zao.Sio yeye peke yake.Kutoka Mwalimu Nyeerere hadi Kikwete wote wamefanya hivyo.Wabunge wana madreva ndugu.Wabunge na Mawaziri wengine wana wasaidizi ndugu.

Katika sekta binafsi,watu wana viwanda na ofisi zao.Baadhi wameajiri ndugu zao.Katika hili wamo Wahaya,Wanyakusa,Wachaga,Wasukuma,nk.Wamo Wahindi na Wachina mpaka Waarabu.

Ukiendelea na mkondo huo huo,katika dini wapo Mapadri na Wachungaji ndugu.Huko nyuma kabisa (wakati wa kipindi cha Giza katika Kanisa), Upapa ulikuwa unarithishwa hata kwa ndugu.

Sasa Lisu na CDM wametoa hoja hii ya "Usukuma,Usubi na au Uzirandekende" wa Magufuli katika Uongozi wa nchi! Je,Suala ni Undugu au suala ni ndugu anafanyia nini cheo au wadhifa aliopewa kwa sifa zake? Je,hoja ni uwezo alionao ndugu au hoja ni ipi hasa inapaswa kuwa?

Je,Kama Jamii tunaweza kujitenga mbali na suala la undugu hapa duniani? Mbinguni huko tayari angalau tumeshapewa "notisi" tujiandae Kisaikolojia kuwa kule hakuna cha mimi na watoto wangu,mjomba wala hubby au baby! Je,hapa duniani inawezekana?

Kwangu mimi hoja iwe: hao wasaidizi wa Raisi Magufuli wa Masuala ya fedha wana-misuse nafasi zao na wanapofanya hivyo wanajificha kwenye Ujomba? Hoja ikiwa hivyo,hapo kunakuwa na la kusema.Kama mambo hayako hivyo hoja hii inakosa cha maana.Inabaki kuwa mambo ya kurukiana tu.Je,hivi hao "wapwa" hapo Wizarani wanaogopwa na kila mtu? Je,hao wapwa Wizara ya Fedha nzima wanafanya maamuzi watu wawili tu ukiongezea na mjomba wao? Je,Wizara hiyo hata marafiki zangu wanaofanya kazi kwa siri nao wamekimbia baada ya timu "wapwa" kushika hatamu? Kama wapo si watupe madudu yao kama yapo.

Mimi sioni shida madhali hata Yesu alifanya kazi na ndugu zake,basi tukaze macho yetu kwa uwezo wa mtu na sio uzao wake.

Nawasilisha.
 
Hii ni kazi ya umma, usiilinganishe na kanisa la yesu. Yesu alikuwa na dini yake anatafuta wafuasi. Lazima Yesu atafute ndugu zake waeneze dini yake. Waliokataa Yesu wakaanzisha makanisa ya kwao, na kule waumini hawana sauti maana ni kanisa lake. Hii ni nchi yetu sote, lazima kuwe na uwiano. Waliokuweka madarakani wasikilizwe.
 
Hii ni kazi ya umma, usiilinganishe na kanisa la yesu. Yesu alikuwa na dini yake anatafuta wafuasi. Lazima Yesu atafutw ndugu zake waeneze dini yake. Waliokataa Yesu wakaanzisha makanisa ya kwao, na kule waumini hawana sauti maana ni kanisa lake. Hii ni nchi yetu sote, lazima kuwe na uwiano. Waliokuweka madarakani wasikilizwe.

Ni sawa ni kazi ya Umma.Na mimi najua ni Kazi ya Umma si ndio maana unadai haki,usawa,uzingativu wa maadili,si ndiyo? Kiini cha maadili, haki,usawa,upendo na kutooneana ni nani kama sio Mungu? Unafikiria nani alikufunulia yote hayo? Je, Sio Mungu kupitia Yesu Kristu? Kwani Yesu hakuja kufanya kazi ya Umma? Unafikiria waliokuwa wanaponywa na kufaidi mikate ya miujiza ulikuwa sio umma?
 
Kwa kuwa hatuko kwenye kisiwa sio vibaya tukajifunza pia wenzetu huko wanasemaje.

***********************
U.S. Code § 3110 - Employment of relatives; restrictions

(a) For the purpose of this section—

(1) “agency” means—

(A) an Executive agency;
(B) an office, agency, or other establishment in the legislative branch;
(C) an office, agency, or other establishment in the judicial branch; and
(D) the government of the District of Columbia;

(2) “public official” means an officer (including the President and a Member of Congress), a member of the uniformed service, an employee and any other individual, in whom is vested the authority by law, rule, or regulation, or to whom the authority has been delegated, to appoint, employ, promote, or advance individuals, or to recommend individuals for appointment, employment, promotion, or advancement in connection with employment in an agency; and

(3) “relative” means, with respect to a public official, an individual who is related to the public official as father, mother, son, daughter, brother, sister, uncle, aunt, first cousin, nephew, niece, husband, wife, father-in-law, mother-in-law, son-in-law, daughter-in-law, brother-in-law, sister-in-law, stepfather, stepmother, stepson, stepdaughter, stepbrother, stepsister, half brother, or half sister.

(b) A public official may not appoint, employ, promote, advance, or advocate for appointment, employment, promotion, or advancement, in or to a civilian position in the agency in which he is serving or over which he exercises jurisdiction or control any individual who is a relative of the public official. An individual may not be appointed, employed, promoted, or advanced in or to a civilian position in an agency if such appointment, employment, promotion, or advancement has been advocated by a public official, serving in or exercising jurisdiction or control over the agency, who is a relative of the individual.

(c) An individual appointed, employed, promoted, or advanced in violation of this section is not entitled to pay, and money may not be paid from the Treasury as pay to an individual so appointed, employed, promoted, or advanced.

(d) The Office of Personnel Management may prescribe regulations authorizing the temporary employment, in the event of emergencies resulting from natural disasters or similar unforeseen events or circumstances, of individuals whose employment would otherwise be prohibited by this section.

(e) This section shall not be construed to prohibit the appointment of an individual who is a preference eligible in any case in which the passing over of that individual on a certificate of eligibles furnished under section 3317(a) of this title will result in the selection for appointment of an individual who is not a preference eligible.

(Added Pub. L. 90–206, title II, § 221(a), Dec. 16, 1967, 81 Stat. 640; amended Pub. L. 95–454, title IX, § 906(a)(2), Oct. 13, 1978, 92 Stat. 1224.)
 
Hoja mufilisi kabisa hii. Kumbe ndoyo maana Magu anateua wakatoliki wenzake tu. Aiga kwa Yesu au unamsingizia Yesu. Nyie watu mpo tayari hata kukufuru ilimradi mtuoneshe kuwa Yesu ni sawa na Magufuli
 
Ni vizuri tukaendelea kujadiliana kwa upole na kwa hoja kwa ajili ya kujenga afya ya Taifa letu.Hii ni kazi ya kila Mtanzania mwenye siha njema kichwani.Tundu Lisu,ametimua vumbi la mjadala,mintarafu "kumsonta kidole" Magufuli juu ya kuchkua ndugu zake wa damu ili wamsaidie kazi! Hili jambo ni la kujadiliwa kwa utulivu.Tujadili hoja tuache kumrukia mtoa hoja.Yawezekana kweli kawasilisha hoja nzuri kwa jaziba lakini tusiangalie tumeletewa chakula katika chombo gani.Madhali chakula ni kisafi hakina inzi nasi tuna njaa basi tule.Tujadili hoja kwa sababu suala kama hilo linatokea katika jamii yetu na inaonekana kuna watu linawakwaza.

Katika Maandiko Matakatifu,tunasimuliwa jinsi Yesu Kristu alivyozaliwa.Inasimuliwa Mara baada ya Bikra Maria kupashwa habari za yeye kubeba ujauzito kwa msaada wa Roho Mtakatifu na Malaika Gabriel,baada ya muda aliondoka kwenda kumsalimia Shangazi yake aitwaye Elizabethi ambaye alikuwa mjamzito wakati huo.Yeye (Elizabethi) alikuwa na ujauzito wa miezi sita.

Kadri ya masimulizi, Baadaye,Elizabethi alijifungua mwanaye ambaye ni maarufu kwa Wakiristu kwa jina la Yohane Mbatizaji.Huyu ndiye alifanya Maandalizi muhimu na ya kwanza kwanza kabisa kwa ajili ya Yesu kufanya kazi zake.Yesu alikuja kubatizwa na Yohane Mbatizaji katika Mto Yordani.

Kama ilivyo hapa Afrika,Katika zile familia extended, Bikra Maria alikuwa anamuita Yohane Mbatizaji Kaka.Ndio ni kaka yake maana ni mtoto wa Shangazi yake.Kwa hiyo Yohane walikuwa ni mtu na Dada yake.Je,kwa Mtiririko huo huo, Yesu alikuwa anamuita Yohane nani yake? Kwa Kabila langu la Kijita/ Kikerewe,Yohane Mbatizaji alikuwa Baba wa Yesu.Sijui Makabila mengine ikoje?

Kama nilivyodokeza hapo juu Yohane Mbatizaji ndiye aliyefanya maandalizi ya kazi za Yesu Kristu.Kwa hiyo "Baba" alimuandalia "mwanae" conducive invironment ya kuja kuwajibika na kutumika.Jambo kubwa sana bila shaka katika kazi ya Ukombozi wa Mwanadamu.Majalimu wa Theolojia wanayo mengi ya kusema juu ya suala hili.Kwa ufupi,Baba alimsaidia Mwana.

Wainjili Watatu,Katika Maandiko Matakatifu: Marko,Matayo na Luka wanatueleza hata baada ya Yesu kuanza kazi rasmi aliwachagua wanafunzi wa kumsaidia kazi.Ndio wale kumi na Wawili.Waenjili hao wote watatu wanabainisha kuwa wanafunzi wa kwanza kwanza kabisa kati ya 12, kuchaguliwa walikuwa ndugu.Wa kwanza ni Petro(Simon,Kefa) na kaka yake Andrea! Waliofuata ni watoto wa Zebedayo: Yakobo na Yohane.Dhana ya undugu inajitokeza tena katika utendaji wa Mungu hapa duniani na inaendelezwa na Yesu Mwenyewe!Ni kama Yesu alikazia jambo hilo.

Katika mabadiko mengi aliyoyafanyia kazi Yesu Kristu,hili la undugu, Maandiko Matakatifu hayatuelezi iwapo aliwahi kuliona kama ni "nongwa". Fundisho ni nini? Manga'muzi tunayoyapata ni haya: Undugu ni njia tu ya kueleza jinsi tunavyotokea duniani.Ni namna tu ya kutandika Biography ya jinsi tulivyotwaa uhai wetu wa kimwili toka kwa wazazi wetu wa mwanzo kabisa (Mume na Mke). Vinginevyo jambo hilo halina umaana wowote ule.Na ndiyo kisa katika mojawapo ya ufafanuzi wake Yesu,aliwahi kuweka wazi kuwa huko Mbinguni hakuna issues za undugu:"... hakuna kuoa wala kuolewa...".

Raisi Magufuli na wengineo ama kwa kufahamu au kutofahamu ukweli huu wamejikuta wanasaidiwa kazi na ndugu zao.Sio yeye peke yake.Kutoka Mwalimu Nyeerere hadi Kikwete wote wamefanya hivyo.Wabunge wana madreva ndugu.Wabunge na Mawaziri wengine wana wasaidizi ndugu.

Katika sekta binafsi,watu wana viwanda na ofisi zao.Baadhi wameajiri ndugu zao.Katika hili wamo Wahaya,Wanyakusa,Wachaga,Wasukuma,nk.Wamo Wahindi na Wachina mpaka Waarabu.

Ukiendelea na mkondo huo huo,katika dini wapo Mapadri na Wachungaji ndugu.Huko nyuma kabisa (wakati wa kipindi cha Giza katika Kanisa), Upapa ulikuwa unarithishwa hata kwa ndugu.

Sasa Lisu na CDM wametoa hoja hii ya "Usukuma,Usubi na au Uzirandekende" wa Magufuli katika Uongozi wa nchi! Je,Suala ni Undugu au suala ni ndugu anafanyia nini cheo au wadhifa aliopewa kwa sifa zake? Je,hoja ni uwezo alionao ndugu au hoja ni ipi hasa inapaswa kuwa?

Je,Kama Jamii tunaweza kujitenga mbali na suala la undugu hapa duniani? Mbinguni huko tayari angalau tumeshapewa "notisi" tujiandae Kisaikolojia kuwa kule hakuna cha mimi na watoto wangu,mjomba wala hubby au baby! Je,hapa duniani inawezekana?

Kwangu mimi hoja iwe: hao wasaidizi wa Raisi Magufuli wa Masuala ya fedha wana-misuse nafasi zao na wanapofanya hivyo wanajificha kwenye Ujomba? Hoja ikiwa hivyo,hapo kunakuwa na la kusema.Kama mambo hayako hivyo hoja hii inakosa cha maana.Inabaki kuwa mambo ya kurukiana tu.Je,hivi hao "wapwa" hapo Wizarani wanaogopwa na kila mtu? Je,hao wapwa Wizara ya Fedha nzima wanafanya maamuzi watu wawili tu ukiongezea na mjomba wao? Je,Wizara hiyo hata marafiki zangu wanaofanya kazi kwa siri nao wamekimbia baada ya timu "wapwa" kushika hatamu? Kama wapo si watupe madudu yao kama yapo.

Mimi sioni shida madhali hata Yesu alifanya kazi na ndugu zake,basi tukaze macho yetu kwa uwezo wa mtu na sio uzao wake.

Nawasilisha.
Lkn utaratibu au sheria ya inchi hii bunge ndo muuizinishaji wa matumizi yote ya serikali sasa swali ndo hili je matumizi ya fedha yanayofanyika sasa na serikali ya magufuri yameidhinishwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa ni kazi ya Umma.Na mimi najua ni Kazi ya Umma si ndio maana unadai haki,usawa,uzingativu wa maadili,si ndiyo? Kiini cha maadili, haki,usawa,upendo na kutooneana ni nani kama sio Mungu? Unafikiria nani alikufunulia yote hayo? Je, Sio Mungu kupitia Yesu Kristu? Kwani Yesu hakuja kufanya kazi ya Umma? Unafikiria waliokuwa wanaponywa na kufaidi mikate ya miujiza ulikuwa sio umma?
acha kukufuru, acha kabisa kumfananisha YESU na binadamu yeyote, acha kabisa. HIKI NI KIBURI CHA MADARAKA.
 
Ninakubaliana na hoja ya kujifunza kwingine.Lakini kwa sasa Katiba yetu au Sheria zetu zina hiyo restriction kama hiyo ya US? Hivi nifahamishe Ivanka ni nani wa Trump na ana wadhifa gani kwa sasa katika Serikali ya Trump? Je,juzi "alivyoachiwa" seat na Trump katika Vikao vya wakubwa alikuwa anaiwalisha Serikali ya nani?
 
acha kukufuru, acha kabisa kumfananisha YESU na binadamu yeyote, acha kabisa. HIKI NI KIBURI CHA MADARAKA.

Loh! Kukufuru? Kumbe wale wachungaji "wanaojibatiza" majina mazuri na ya kusisimua kama vile "Mtume na Nabii", " Bwana wa ufufuo na Uzima", nk nao wanamkufuru Mungu na Yesu maana hata Yesu pekee anastahili kujiita hivyo.Someni maandiko Matakatifu kwa utulivu.Sisi tunajiita Wakiristu kwa sababu tunamufuasa Kristu.Tunaalikwa kujifunza kwa Kristu.Kwa hiyo kueleza kuwa hata Yesu aliishi na kufanya kazi na ndugu ni Kufuru? Kumbe ndiyo maana Yesu hakukosea kuacha kazi ya kufundisha Imani yake mikononi mwa Petro na Wenzie.Wengine mumedandia Maandiko Matakatifu kwa mbele na hivi mumevunjika meno na ndimi zenu.
 
Hoja mufilisi kabisa hii. Kumbe ndoyo maana Magu anateua wakatoliki wenzake tu. Aiga kwa Yesu au unamsingizia Yesu. Nyie watu mpo tayari hata kukufuru ilimradi mtuoneshe kuwa Yesu ni sawa na Magufuli

Hoja kama hii ni mwendelezo wa kusepetuka kimantiki tu.Wakatoliki walioteuliwa kwani wanatokea North Korea,China,Irani au DRC? Je,hao wakatoliki hawana sifa? Kama Wakatoliki hawastahili kuongoza mbona mlimpigia kura anayewateua?
 
Ni sawa ni kazi ya Umma.Na mimi najua ni Kazi ya Umma si ndio maana unadai haki,usawa,uzingativu wa maadili,si ndiyo? Kiini cha maadili, haki,usawa,upendo na kutooneana ni nani kama sio Mungu? Unafikiria nani alikufunulia yote hayo? Je, Sio Mungu kupitia Yesu Kristu? Kwani Yesu hakuja kufanya kazi ya Umma? Unafikiria waliokuwa wanaponywa na kufaidi mikate ya miujiza ulikuwa sio umma?
Rafiki usilinganishe mambo ya siasa za binadamu na Yesu. Nadhani at the end ya discussion yetu, conclusion will be wrong! Katika syllogism tunasema When the major statement is wrong, whaterver good or correct the minor statements might be the conclusion will be wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri tukaendelea kujadiliana kwa upole na kwa hoja kwa ajili ya kujenga afya ya Taifa letu.Hii ni kazi ya kila Mtanzania mwenye siha njema kichwani.Tundu Lisu,ametimua vumbi la mjadala,mintarafu "kumsonta kidole" Magufuli juu ya kuchkua ndugu zake wa damu ili wamsaidie kazi! Hili jambo ni la kujadiliwa kwa utulivu.Tujadili hoja tuache kumrukia mtoa hoja.Yawezekana kweli kawasilisha hoja nzuri kwa jaziba lakini tusiangalie tumeletewa chakula katika chombo gani.Madhali chakula ni kisafi hakina inzi nasi tuna njaa basi tule.Tujadili hoja kwa sababu suala kama hilo linatokea katika jamii yetu na inaonekana kuna watu linawakwaza.

Katika Maandiko Matakatifu,tunasimuliwa jinsi Yesu Kristu alivyozaliwa.Inasimuliwa Mara baada ya Bikra Maria kupashwa habari za yeye kubeba ujauzito kwa msaada wa Roho Mtakatifu na Malaika Gabriel,baada ya muda aliondoka kwenda kumsalimia Shangazi yake aitwaye Elizabethi ambaye alikuwa mjamzito wakati huo.Yeye (Elizabethi) alikuwa na ujauzito wa miezi sita.

Kadri ya masimulizi, Baadaye,Elizabethi alijifungua mwanaye ambaye ni maarufu kwa Wakiristu kwa jina la Yohane Mbatizaji.Huyu ndiye alifanya Maandalizi muhimu na ya kwanza kwanza kabisa kwa ajili ya Yesu kufanya kazi zake.Yesu alikuja kubatizwa na Yohane Mbatizaji katika Mto Yordani.

Kama ilivyo hapa Afrika,Katika zile familia extended, Bikra Maria alikuwa anamuita Yohane Mbatizaji Kaka.Ndio ni kaka yake maana ni mtoto wa Shangazi yake.Kwa hiyo Yohane walikuwa ni mtu na Dada yake.Je,kwa Mtiririko huo huo, Yesu alikuwa anamuita Yohane nani yake? Kwa Kabila langu la Kijita/ Kikerewe,Yohane Mbatizaji alikuwa Baba wa Yesu.Sijui Makabila mengine ikoje?

Kama nilivyodokeza hapo juu Yohane Mbatizaji ndiye aliyefanya maandalizi ya kazi za Yesu Kristu.Kwa hiyo "Baba" alimuandalia "mwanae" conducive invironment ya kuja kuwajibika na kutumika.Jambo kubwa sana bila shaka katika kazi ya Ukombozi wa Mwanadamu.Majalimu wa Theolojia wanayo mengi ya kusema juu ya suala hili.Kwa ufupi,Baba alimsaidia Mwana.

Wainjili Watatu,Katika Maandiko Matakatifu: Marko,Matayo na Luka wanatueleza hata baada ya Yesu kuanza kazi rasmi aliwachagua wanafunzi wa kumsaidia kazi.Ndio wale kumi na Wawili.Waenjili hao wote watatu wanabainisha kuwa wanafunzi wa kwanza kwanza kabisa kati ya 12, kuchaguliwa walikuwa ndugu.Wa kwanza ni Petro(Simon,Kefa) na kaka yake Andrea! Waliofuata ni watoto wa Zebedayo: Yakobo na Yohane.Dhana ya undugu inajitokeza tena katika utendaji wa Mungu hapa duniani na inaendelezwa na Yesu Mwenyewe!Ni kama Yesu alikazia jambo hilo.

Katika mabadiko mengi aliyoyafanyia kazi Yesu Kristu,hili la undugu, Maandiko Matakatifu hayatuelezi iwapo aliwahi kuliona kama ni "nongwa". Fundisho ni nini? Manga'muzi tunayoyapata ni haya: Undugu ni njia tu ya kueleza jinsi tunavyotokea duniani.Ni namna tu ya kutandika Biography ya jinsi tulivyotwaa uhai wetu wa kimwili toka kwa wazazi wetu wa mwanzo kabisa (Mume na Mke). Vinginevyo jambo hilo halina umaana wowote ule.Na ndiyo kisa katika mojawapo ya ufafanuzi wake Yesu,aliwahi kuweka wazi kuwa huko Mbinguni hakuna issues za undugu:"... hakuna kuoa wala kuolewa...".

Raisi Magufuli na wengineo ama kwa kufahamu au kutofahamu ukweli huu wamejikuta wanasaidiwa kazi na ndugu zao.Sio yeye peke yake.Kutoka Mwalimu Nyeerere hadi Kikwete wote wamefanya hivyo.Wabunge wana madreva ndugu.Wabunge na Mawaziri wengine wana wasaidizi ndugu.

Katika sekta binafsi,watu wana viwanda na ofisi zao.Baadhi wameajiri ndugu zao.Katika hili wamo Wahaya,Wanyakusa,Wachaga,Wasukuma,nk.Wamo Wahindi na Wachina mpaka Waarabu.

Ukiendelea na mkondo huo huo,katika dini wapo Mapadri na Wachungaji ndugu.Huko nyuma kabisa (wakati wa kipindi cha Giza katika Kanisa), Upapa ulikuwa unarithishwa hata kwa ndugu.

Sasa Lisu na CDM wametoa hoja hii ya "Usukuma,Usubi na au Uzirandekende" wa Magufuli katika Uongozi wa nchi! Je,Suala ni Undugu au suala ni ndugu anafanyia nini cheo au wadhifa aliopewa kwa sifa zake? Je,hoja ni uwezo alionao ndugu au hoja ni ipi hasa inapaswa kuwa?

Je,Kama Jamii tunaweza kujitenga mbali na suala la undugu hapa duniani? Mbinguni huko tayari angalau tumeshapewa "notisi" tujiandae Kisaikolojia kuwa kule hakuna cha mimi na watoto wangu,mjomba wala hubby au baby! Je,hapa duniani inawezekana?

Kwangu mimi hoja iwe: hao wasaidizi wa Raisi Magufuli wa Masuala ya fedha wana-misuse nafasi zao na wanapofanya hivyo wanajificha kwenye Ujomba? Hoja ikiwa hivyo,hapo kunakuwa na la kusema.Kama mambo hayako hivyo hoja hii inakosa cha maana.Inabaki kuwa mambo ya kurukiana tu.Je,hivi hao "wapwa" hapo Wizarani wanaogopwa na kila mtu? Je,hao wapwa Wizara ya Fedha nzima wanafanya maamuzi watu wawili tu ukiongezea na mjomba wao? Je,Wizara hiyo hata marafiki zangu wanaofanya kazi kwa siri nao wamekimbia baada ya timu "wapwa" kushika hatamu? Kama wapo si watupe madudu yao kama yapo.

Mimi sioni shida madhali hata Yesu alifanya kazi na ndugu zake,basi tukaze macho yetu kwa uwezo wa mtu na sio uzao wake.

Nawasilisha.
Ndugu yangu,Mfano uliyoutoa haufanani kabisa na hili la dr.Pombe.Kwa nini?...Kwa sababu ujio wa yesu kristu ulizingatia mambo yafuatayo:-
1.Ahadi: Ahadi ya Mungu katika bustani ye eden baada ya Adam na hawa kula tunda..."Nitawaletea mwokozi/mkombozi"
2.Unabii: Manabii walitabiri watangulizi wa yesu watakuwa akina nani,atakavyozaliwa,maisha yake,Wanafunzi wake namna atakavyowapata wanafunzi wake,kuteswa kwake na kanisa lake kwa ujumla....ndiyo maana yesu aliwaita wanafunzi wake..."hawa alionipa baba yangu/MUNGU"....
Kumbuka kwamba utawala wa MUNGU ni wa kiroho na siyo wa kimwili.Yesu kristo akupigiwa kura na wayahudi au wakristo ili awaongoze, bali ilikuwa ni ahadi ya ukombozi wa kiroho kutoka kwa Mungu.

Sasa basi,Naomba kukuuliza:-
1. Ujio wa Dr.Pombe ilikuwa ni ahadi au alipatikana kwa ushindani/kura?...ahadi hiyo ilitoka kwa nani?
2.Unabii upi/nabii yupi alitabiri ujio wa dr.pombe?...kuhusu utendaji wake,wateule wake nk?
3.Utawala wa dr.pombe ni wa kiroho au wa kimwili?
WATANZANIA WANAYO HAKI YA KUMKOSOA,KUMWAMBIA UKWELI NA HATA KUONGELEA TEUZI ZAKE KWA SABABU ALICHAGULIWA NA WATANZANIA ILI AWAONGOZE KWA MATAKWA YA WATANZANIA...
 
Hoja kama hii ni mwendelezo wa kusepetuka kimantiki tu.Wakatoliki walioteuliwa kwani wanatokea North Korea,China,Irani au DRC? Je,hao wakatoliki hawana sifa? Kama Wakatoliki hawastahili kuongoza mbona mlimpigia kura anayewateua?
Wana sifa na wote wanatoka huko kwao. Na Magu ni sawa na Yesu kama unavyotaja kutuaminisha. Umefurahi sasa?
 
Rafiki usilinganishe mambo ya siasa za binadamu na Yesu. Nadhani at the end ya discussion yetu, conclusion will be wrong! Katika syllogism tunasema When the major statement is wrong, whaterver good or correct the minor statements might be the conclusion will be wrong

Sent using Jamii Forums mobile app

Would you kindly narrate how and to what extent my syllogism has been culminated wrongly? In my argument and very constructively, I have addduced ample examples why blood relationship can't and will never constitute an evil in any service be it politcal, economically, religiously unless and until the same is misused or it is clearly provided by the law.Arguably, correct me then.
 
Wana sifa na wote wanatoka huko kwao. Na Magu ni sawa na Yesu kama unavyotaja kutuaminisha. Umefufahi sasa?

Ndugu yangu sio suala la kufurahi! Ninaweza kufurahi kwa sababu ndicho kilichomleta Kristu.Alikuja kutuonyesha kweli ili hiyo kweli ituweke huru.Hatuna haja tena ya kuishi kwa hsia wala mihemko bali kwa kuongozwa na ukweli.
 
Back
Top Bottom