Tafakari. Wanamuziki wa kike kutoka Congo

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,870
4,265
Najaribu kutafakari kwa nini DRC katika miaka ya 2000 haijatoa wanamuziki nguli wa kike kama ilivyokua miaka ya 80 na 90 ambspo wanamuziki wengi wa kike walitamba kama akina Mbilia Bell. Tshala Mwana, Yondi Sister n.k. kwa nini sasa hivi wanawake hawasikiki tena?
 
Wanawake muda wote hawana mpango mkakati wa muda murefu kuwezesha kile ambacho wamewekeza kwacho.na ndo maana muda mwingi mambo yao yanaexpire mapeeeeeema.
 
Cindy le ceur a.k.a cindy moyo ni balaa kwa enzi za sasa. Of course hao akina Mbilia Bel na wengineo wa enzi zao ni habari nyingine.
 
wanawake wa congo wana changamoto nyingi rushwa ya mapenz nayo huaribu talents sio drc tu hata bongo kwa upande wa hiphop iko ivo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom