Tafakari safari ya................Nyama lazima iliwe tu....

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Dql2sz9X4AA9Nbz.jpg

Lazima mtu aliwe nyama tu hapo unataka au hutaki.......
 
Faru ameshiba kweli kweli, ana misuli imara kuliko hao simba wanaotaka kumuangusha. Simba mmoja keshakula kibano nadhani kilichobaki kwa mwengine ni kutimua mbio au kuufyata harafu fisi ajiokotee mzoga, akajisifu kwa wenzake kua amepata bonge la kitoweo.
 
kazi ipo kweli kweli si mchezo
 
Faru ameshiba kweli kweli, ana misuli imara kuliko hao simba wanaotaka kumuangusha. Simba mmoja keshakula kibano nadhani kilichobaki kwa mwengine ni kutimua mbio au kuufyata harafu fisi ajiokotee mzoga, akajisifu kwa wenzake kua amepata bonge la kitoweo.
Na huyo simba akitua chini anacho cha pili lazima wasepe tu
 
Back
Top Bottom