Elections 2010 Tafakari picha hii na linganisha na mdahalo wa leo

thats exactly what happened, waandishi maalum, maswali maalum, majibu maalum, TV maalum, makofi maalum, hata wasikilizaji maalum na wapiga makofi maalum
 
Nasikitika mchoraji nadhani ana chuki ya binafsi kwa Kikwete. Kanzu inashiria nini? Mbona hukuchora picha ya Dr Slaa na rozari yake? Tujitafakari nafsi zetu. Kila kiongozi ana mapungufu yake. Tangu wa awamu ya kwanza mpaka ya nne. nadhani hata wewe ungeachiwa kuongoza yangekupata yale yale. Kumbuka Kikwete si muumini kamili wa dini yake, ndio maana anahudhuria tafrija za makanisani. je Marehemu Julius alipokea lini Msahafu Msikitini? Wewe nidio itafakari nafsi yako, nadhani hujakamilika mwa-JK. Uchaguzi mwema!
Ahungu

Hiyo ni kazi ya sanaa haimaanishi tu kuwa huyo ni kikwete bali yeyote.
 
Back
Top Bottom