TAFAKARI No. 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAFAKARI No. 1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Exaud J. Makyao, Jul 23, 2009.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Amini kwamba inawezekana uishi maisha ambayo ni mazuri tena ya kukuridhisha wewe na wengine hapa hapa duniani.
  Kisha fanya bidii kwa vitendo sawa sawa na imani hiyo.
  Ejm
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Toa mchanganuo wa nini cha kufanya.Kwani kila siku Mama ntilie na machinga wanasumbuliwa,biashara ndogondogo zimevamiwa na wageni,ukianzisha mradi mkopo ni tabu na kodi lukuki,ebu tuelimishe basi nini kinaweza kututoa.
   
 3. I

  Idda Member

  #3
  Jul 23, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo waliofanikiwa katika hali hizo hizo.
  Nadhani mwandishi anataka kutujulisha tusikate tamaa?
  Au?
  Mimi sijui sana lakini.
  Narudi class.
   
 4. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu Mmaroroi, soma hizo bolds, ukiweka kichwani kuwa inawezekana, utaweza hata kwa kuanzia chini, sio lazima mkopo tu save taratibu na uwekeze hatua kwa hatua inawezekana tu. Kwani kina Peacock walikua na ajira, elimu, mikopo mikubwa? na wengineo walioanzia chini.
  Jaribu pia kufanya vitu kwa kufuata sheria anzia na biashara ndogo, huku umeajiriwa, mikopo pia inapatikana kwa biashara ndogo mf Grocery, duka, nyumba zenye hati hata za kata wanapokea, mifugo: kuku, ngo'mbe.
  Ukiwa na positive attitude utafanikiwa lakini ukikazania kuwa haiwezekani ndo basi tena. Mie nilikimbizia hiyo mikopo wee, nimeacha, sasa hivi nimeanza mifugo yangu itoshe matumizi yangu ya mwezi, then matumizi + fees ya mtoto, then matumizi + fees yangu + ya mtoto = Nisiwe tegemezi tena kwa mshahara ili niwekeze kwenye vitu vingine. BADILIKA
   
 5. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mama JOE,
  Moja kati ya vikwazo vingi vinavyowazuia watu wasiendelee, ni kujifunza tu kwa WALIOSHINDWA, na kusahau kujifunza kwa WALIOFANIKIWA.

  Kubadilika ni muhimu.
   
 6. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ndiyo, ni muhimu kuwa na vision to make this real, choose your own role model " I WANT TO BE LIKE HIM / HER" hata kama vitu havitakuwa materialized mapema stick to your plans and your means.
  Mikopo mara nyingi ni easy way out, nyumba nzuri, gari kubwa vinalipiwa miaka yako yote ya ajira, then ukistaafu means ya kuishi hata ktk nyumba hiyo tu huna, gari ndo acha kabisa. Start from the bottom to the top, its possible
   
 7. F

  Felister JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bidii bila maarifa ni kazi bure. Kwanza pata maarifa sina maana ya elimu ya darasani tu lah hata jinsi ya ku influence decision zinazofanywa na hao wasumbufu ni maarifa. Je utawezaje kufanya hivyo? Acha confrotations toa suggestions/suppositions kwa kutumia hekima na busara; fanya networkings tengeneza mazingira mazuri na kwa wengine pia waweze kufanikiwa then utaona matunda ya maneno ya mwandishi wa hii thread.

  Watu wengi wanafikiri kukesha kufanya kazi bila kuhakikisha uwepo wa mambo mengine muhimu kuleta tija. Mara nyingi wameishia kukata tamaa na kuishia kuzeeka kwa stress huku wakiwa wanyonge. Sina maana watu wasifanye kazi no ila ni vipi unafanya kazi isiyo leta mafanikio? Kumbe mafanikio ni zaidi ya kufanya kwa bidii. Hofu ya Mungu ni mwanzo wa mafanikio.

  Ukiwa na hofu ya Mungu hutamwibia mwenzako, hutapenda dhuluma kwa kutegemea jasho la wenzako na utaheshimu utu wa wenzako maana ni viumbe wa Mungu, utathamini vipaji vya wengine na utapenda kushirikiana badala ya kufanya kama vile wewe tu ndo upo pekee hapa duniani na wengine wote ni ziada na si muhimu kwako. Nature haiko hivyo kama sura zisivyo fanana jinsi hiyo hiyo pia perfection ya jambo ni kutimiza law ya complimentarity, usijidharau au kuji exclude do with others; make them partners and not either donors/recepients nor object to be used.

  Imani kwa Mungu ni ingridient muhimu katika mafanikio ya haraka. Imani hutoa hofu, huleta kujiamini na hivyo kuwa risk taker husaidia kuwa focused na hutuliza ubongo na kuufanya utende kwa uhakika zaidi.

  Neno la Mungu linasema to your "faith add virtue and to virtue knowledge, to the knowledge temperance to the temperance excellence and to the excellence patience and to patience godliness and godliness brotherly kindness and to brotherly kindness charity for if these things bee in you and abound you shall be fruitfull...". and with all these do with love whatever you wish to do. The true love beggins with you loving yourself. Many people dont love themselves if they do they would let capable people do things perfectly for their own wellbeing and others for upendo huvumilia hautakabari mabaya, hauhusudu (pesa,watu, mali, madaraka etc), hauwazi mambo yake menyewe huwaza na ya wengine na hupenda kushirikiana na wengine.
   
 8. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
   
 9. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ni wazo zuri.
  Lakini tuamini kabla ya kuona kitakacho tu aminisha?
  Exaud na wengine,
  Nini tulichoona ili tuamini?
   
 10. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Emma, Kama unaamini kuwa unaweza kuwa na biashara, kazi nzuri, elimu utatumia kila fursa inayopita mbele yako, lakini ukiamini kuwa haiwezekani kufanya chochote hata fursa nzuri inaweza pita mbele yako au ukaletewa ukaikataa si huwezi - haiwezekani tu ndo imejaa kichwani mwako.
  Ndo tunasema mkopo mkubwa wa duka kkoo, contenas za Dubai etc haupo lakini je mkopo wa kuanzia biashara nyingine si upo?
  Kuna watu wameishia form 6 kisa hakupata scholarship kwenda nje, kwani hapa hamna vyuo?
  Kuna watu wanasota mtaani na degree kisa hajaona kazi inayomfaa, afu anaomba nauli ya daladala?

  Ukiamini kila opportunity utaifanyia kazi, even if as a stepping ladder to the next level, kwasababu utakuwa na vision yako ya maisha bora.

  Halafu anasema na "Kisha fanya bidii kwa vitendo sawa sawa na imani hiyo"
  Mie nimetoa mfano wa ninachofanya, nadhani Exaudi mwenyewe economist atatupa mifano zaidi, au wewe pia.

   
 11. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mama Joe,
  Nilikuwa off kwa muda.
   
Loading...