TAFAKARI: NEEMA YA MACHUNGU ya IRENE ISAKA KUTOKA NSSF

Wekeni na floor plan/rough sketch na picha ya hizo nyumba kuona zilivyo wa wale wasio Dar es salaam? Au ni maalumu kwa wana Dar tu????
 
Wanashindana na NHC hamna lolote kwa pesa milioni 30 naweza kujenga nyumba bora na ya kisasa miradi mingi wanayofanya NSSF wanaongeza gharama kwa makusudi wajihalalishe kutumia pesa za wafanyakazi
 
Wekeni na floor plan/rough sketch na picha ya hizo nyumba kuona zilivyo wa wale wasio Dar es salaam? Au ni maalumu kwa wana Dar tu????

PICHA YA NINI WAKATI HAKUNA MFANYAKAZI ANAE PATA MSHara wa halali aneweza lipa hio pesa interest peke yake ni million 223 jumlisha na mkopo wa m 68 ni m 291 kwa bed room 2 .
unaweza jenga yako kwa m 40 bila mikwaruzo

 
PICHA YA NINI WAKATI HAKUNA MFANYAKAZI ANAE PATA MSHara wa halali aneweza lipa hio pesa interest peke yake ni million 223 jumlisha na mkopo wa m 68 ni m 291 kwa bed room 2 .
unaweza jenga yako kwa m 40 bila mikwaruzo


Mkuu nataka nione hizo nyumba zinafananaje hadi waweke hiyo bei. Hii kitu mtu ukiingia kichwa kichwa cha moto utakiona.
 
Huyo mtu wenu SSRA alitokea PPF ni sawa na mtu anayehama KANU kwenda FORD, kwenda FORD asili, Kwenda PNU, kwenda kokote, sera ni zile zile: WIZI WIZI! Bahati mbaya kabisa ni mtu aliyeshikwa mkono kuingia ofisi hiyo, malipo anajuwa mwenyewe!

Hatafanya lolote mpaka pesheni zitakapokwisha na baadaye naye kisha staafu. Amefaidi. hiyo ndo mila yetu lakini sasa lazima tuwe na sheria za kuwafilisi hata walisi wao.

Mi najenga yangu ya vyumba 5 kwa hiyo hiyo 68M!
 
Ngoja! Have these houses been constructed already or they are in the process of being constructed. Information that I had was NSSF in association with a private firm (which is to introduce prefab hi-tech in the development) was still contemplating pursuing the project!

The stats are shocking - if only one could avail himself Tshs 68m today and invest in this kind of venture, from this stat, you would earn a threefold of the principal sum, if you aimed down to less than 200m then after 1 and half years 99% interest compounded - (i.e 68 x (1.99^1.5))= 190m!

And the big question would be whether property values are likely to change at such a rate and the evidence is NONE! Between 2005 and 2012 property values in the popular residential districts of Dar such as Kijitonyama and Mikocheni have changed at an average of not more than 12% per annum- such that whereas you could buy a house in Knyama at around Tshs 50m in 2005, that same house would probably cost you today around Tshs 110m. If you take the NSSF scenario, a low income earner would immediately become richer as the house purchased will have appreciated by over 100% compounded in less than 2 years! Oh WHAT NICE WAYS OF EMPOWERING THE POOR!

Jamani huu ni wizi mwingine kwa Wanachama wa NSSF. If someone borrows a Mortgage Finance of Tzs 68.00 Million at interest rate of 24% per annum for 20 years. The interest rate to be paid will Tzs 453.23 Million which is around seven times of the principal amount of Tzs 68.00 Million. The total amount to be paid will be Tzs 521.23 Million.

Kwa mchanganuo huu ni kumsaidia mwanachama? Au ni njia nyingine ya kummaliza mwanachama? Mwandishi hapo nilipoweka rangi nyekundu anamaanisha nini kwa sisi Wanachama? Au katumwa na wakuu wa NSSF kuzidi kutudanganya? Nijuavyo mimi huu ni wizi mwingine wa Serikali kwa Wananchi wake. Hakuna faida YEYOTE ile kwenye hilo la kukopeshwa nyumba kwa Wanachama zaidi kuwaibia na kuwafanya maisha yao kuwa magumu ZAIDI.
 
Poleni watanzania kelele zinakuwa nyingi lakini ndo upepo unapita liwalo liwe:israel::israel:
 
Hizo nyumba mahawara zake watagawana bure bwerere bila hata kutoa mia.
Sumai alikopaga milioni ngapi wakuu kwenda kuwekeza kibaigwa?

Je alirudisha????
 
Ama kweli kifo cha nyani.......yaan serikali yetu ni kama imeazimwa nje kuja kutenda kazi za ndani............nyumba ya vyumba viwili 68M na interest juuu???????

Haya bana mmeeleweka

mkuu umeona eh,eti vyumba 2, 68 m.hata ukisema ujege haiwezi fika huko.
 
Construction of 36 affordable houses in Mtoni Kijichi
CLIENT: National Social Security Fund(NSSF)
CASCO's role: Main contractor

PICTURES FROM THE PROJECT
1314965212_1.jpg

Superstructure stage for affordable 36 housing scheme for NSSF in Kijichi, Dar Es Salaam
 
Nimeanza kuogopa investment ambazo NSSF wanafanya...
Pesa yangu haiko salama kabisa...
 
Back
Top Bottom