Tafakari na Kipanya: Picha hizi za mafiga zina maana gani?

We fala nimeamini ni jobless. Gesi gani ya 15000 inatumika miezi 2?
Kweli 7000 unazolipwa zinakudanganya au sababu unapewa na chakula
Gesi ni 15,000 kujaza kwa miezi miwili,mkaa ni 60,000 kwa miezi miwili wapi kuna nafuu?
 
Hapo nilivoelewa kuna mihimili mi3 nchini ila miwili haifanyi kazi mhimili mmoja tu ndio kila kitu
 
Back
Top Bottom