Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,806
- 4,215
asante pia ila ni mawazo yangu tuAhsante!
acha uongo
asante pia ila ni mawazo yangu tuAhsante!
acha uongo
Msomi ni mzungu pia.Ila hichi kibonzo sema kimeweka characters wazungu ila hata kwa waafrika appliedKutathimini hii kitu sio kitu lelemama......hapo ninaona msomi mwafrika akijaribu kutoka mbio za maendeleo huku akimvuta mzungu, bila shaka pembeni ni mzungu mshindani wake, akiwa kwenye gari ya wazungu wenzake wanampa sapoti..........nasubiri wengine waje kufanya brain storming, mpaka tutaelewa.