Tafakari kwa makini

Mtama

Member
Nov 8, 2010
63
0
Kama upo kwenye uhusiano halafu haujisikii amani kufanya yale yaliyo sahihi tambua kuwa hapo unaburuzwa kihisia,mfano mpenzi wako akikukosea unaogopa kumwambia kwa kuhofia atakuacha tambua una maradhi ya utegemezi wa hisia,yaani umempa mtu mwingine mamlaka ya kukuamulia hisia zako,hili ni tatizo kubwa,jikomboe kwa kubadilika,bahati mbaya wengine huita hali hii kupenda wakati ni maradhi ya hisia,jitambue na ubadilike!
 
Mtama umenigusa aisee hiyo iliwahi kunitokea wakati nikiwa mdogo ila sasa nimekuwa niliwahi kabisa kufanya hayo! Kula thanks basi
 
True.
True.
True,
elimu ya utambuzi ni pana sana na ni ghari kuliko elimu zote duniani.
Thaxxxxxx.
 
Unawafundisha nini??wakiachika utawachukua??kaungane na watu wa TGNP au A.Nkya!kwenye majukwaa:nono:!!
 
Kama upo kwenye uhusiano halafu haujisikii amani kufanya yale yaliyo sahihi tambua kuwa hapo unaburuzwa kihisia,mfano mpenzi wako akikukosea unaogopa kumwambia kwa kuhofia atakuacha tambua una maradhi ya utegemezi wa hisia,yaani umempa mtu mwingine mamlaka ya kukuamulia hisia zako,hili ni tatizo kubwa,jikomboe kwa kubadilika,bahati mbaya wengine huita hali hii kupenda wakati ni maradhi ya hisia,jitambue na ubadilike!
Kweli kabisa.
 
...Ok,...ngoja ni delete tafsiri yangu nyingine ya Mapenzi.
Walaaniwe waliosema eti mapenzi ni kumteka mtu hisia, washindwe na walegee!
But wait,.....mbona nawe 'unataka kuniteka hisia' zangu kwa ujumbe huu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom