Tafakari Konyagi

kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
398
469
Nimemuona huyu jamaa kumdadisi,nimeshindwa kibaini kuwa anawaza au anatafakari kuhusu Nini? Lugha ya Picha njooni tafadhali
IMG_20190612_143541.jpeg
 
Anawaza Namna jinsi atakavyoinywa Hadi jamaa wa Lebo ya Nyagi ashushe mikono.
 
Halafu acha kumwangalia mwenzio akiwa anaponda raha maana ulivyomkodolea mimacho
 
anajisemea "MANINA HUYU DEMU LEO LAZIMA NIKAMCHAKAZE NIKIMALIZA HUU MZIGO WOTE...."
:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Back
Top Bottom