kunze JF-Expert Member Nov 22, 2016 398 469 Jun 12, 2019 #1 Nimemuona huyu jamaa kumdadisi,nimeshindwa kibaini kuwa anawaza au anatafakari kuhusu Nini? Lugha ya Picha njooni tafadhali
Nimemuona huyu jamaa kumdadisi,nimeshindwa kibaini kuwa anawaza au anatafakari kuhusu Nini? Lugha ya Picha njooni tafadhali
Kirchhoff JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,365 7,603 Jun 12, 2019 #2 Anawaza Namna jinsi atakavyoinywa Hadi jamaa wa Lebo ya Nyagi ashushe mikono.
Ryan Holiday JF-Expert Member Jul 25, 2018 1,854 3,874 Jun 12, 2019 #3 kimoyo moyooo "TAMU KAMA ASALI" 😉 .
Qurie JF-Expert Member Aug 9, 2015 3,638 3,850 Jun 12, 2019 #4 Anameza funda chungu mdomoni na anajua anajiharibia maini yake
kofuli JF-Expert Member Feb 9, 2019 505 568 Jun 12, 2019 #7 Anashindwa kuamini ilicho mfanya imebidi ainue chupa kuhakikisha yanayo mtokea kichwani yanaendana na hiyo chupa ama
Anashindwa kuamini ilicho mfanya imebidi ainue chupa kuhakikisha yanayo mtokea kichwani yanaendana na hiyo chupa ama
Abbitto JF-Expert Member Feb 12, 2019 547 744 Jun 12, 2019 #8 Halafu acha kumwangalia mwenzio akiwa anaponda raha maana ulivyomkodolea mimacho
coscated JF-Expert Member Nov 17, 2010 2,919 1,968 Jun 12, 2019 #9 Hajaungana na msafara wa taifa stars huyo?
Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 Jun 13, 2019 #10 Anafanya tathimini kama hili kinikia linachenjulika?
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jun 13, 2019 #12 anajisemea "MANINA HUYU DEMU LEO LAZIMA NIKAMCHAKAZE NIKIMALIZA HUU MZIGO WOTE...."