Tafakari,chukua hatua!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa alioa binti mshamba ambaye alikuwa hajawahi kuuona u*me maisha yake yote.Siku ya kwanza kuuona u*me wa mumewe,yule binti akauliza hiyo ni nini?mume akajibu;huu ni u*me au m*oo na ninao mimi tu dunia nzima.Siku moja huyu bwana alipata safari,aliporudi toka safari,mkewe akamwambia;ulisema ni wewe pekee mwenye u*me duniani,mbona jirani yetu Onyi naye anao?.Jamaa akajua ONYI keshatembea na mke wake,akamjibu mkewe;nilikuwa nazo mbili nikampa moja Onyi.Mke akajibu;kama ni wewe ulimpa Onyi,mbona ya Onyi ni kubwa na tamu kuliko hako kakipisi kako?nakushauri uende kwa Onyi ukamnyang'anye ile umpe hako kakipisi,vinginevyo mi nitahamia kwa Onyi!
 
Back
Top Bottom