Tafakari! Chukua Hatua

Aug 9, 2018
95
293
Umeshawahi kujiuliza muda unaoutumia kufanya kazi za mwajiri kama ungekuwa unafanya shughuli zako mwenyewe ungekuwa wapi leo? Jaribu kuwaza kwa sauti halafu ujipe majibu mwenyewe, kujiamini na kuthubutu ni 'values' muhimu sana katika kujitegemea kiuchumi

Tafakari, Chukua hatua!
 
Ayo mambo ya kishenzi nilifanya hesabu zikagoma ni bora niuze ata mkaaa gunia moja baada ya miaka kumi takua nayo kumi kila siku nitaongezeka kuliko kunufaisha mwingine wew uko pale pale unafanyia kazi tumbo na nguo never nawashangaa sana wanao lalamika ajira amuna mimi iyo dini ya kuajiriwa sio mufuasi kabisa.
 
Samahani..uliajiriwa wapi wewe!
 
lazima kuwe na 'waajiri' na 'waajiriwa', ili necha ibalans, fikiria viwanda vingekua hewa bila kua na 'waajiriwa'

sio kila kitu ni cha kuanzishia uzi aisee
 
Inategemea umeajiriwa wapi asee kama kwa muhindi mshahara laki 3 sawa..nenda kapambane..
Ila kuna ofisi watu wanakula pesa ndefu ambazo waliojiajiri wanazitamani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom