Tafakari baada ya habari ya TBC wametulisha tango!

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
269
224
Ni pale jamaa alipodai kuwa Ibrahim ametoa Ishmael kama sadaka na kushushwa kondoo.

Mimi nijuavyo ni Isaka..



Fredius Snowden,

5th Avenue Madson, NY758, USA
 
Sasa hilo ni tbc wamesema au masheikh?? Usitafakari sana hilo kwani hakuna kati ya wasemaji aliyekuwepo siku hizo za Seyidina Ibrahim (RA) bali wote wananena mapokeyo tu.
Wewe unaamini nini?
 
Back
Top Bottom