Tafadharini, ebu naombeni maelezo kidogo kuhusu mambo ya hisa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadharini, ebu naombeni maelezo kidogo kuhusu mambo ya hisa!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mesm2015, Oct 5, 2011.

 1. mesm2015

  mesm2015 Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  (Please, can i get some ideas from positive and serious people because there are soo many negative people here on the forum, instead of giving advice they ask irrelevant questions!)

  HABARI ZENU WASHIMIWA!
  TAFADHARINI, NAOMBA MTU MWENYE IDEA NA MAMBO YA HISA ANIELEWESHE KIDOGO!NI MGENI KABISA KWENYE MAMBO YA HISA, HIVYO NAOMBA "SOMO" FUPI KWA UJUMLA KUHUSU HISA!
  NI KWAMBA KUNA HII KAMPUNI YA NDEGE AMBAYO ITA-OFFER HISA ZAKE KWA PUBLIC! JE NI MCHAKATO GANI AMBAO NAPASHWA KUUFUATILIA IKIWA NAMI NATAKA KUNUNUA BAADHI YA HISA?NA KUNA FAIDA GANI NA HASARA GANI KATIKA KUNUNUA HIZO HISA!
   
Loading...