Tafadhari wanasheria wasomi naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu fidia ya ardhi

butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,283
7,306
Mzee wangu ambaye kwa sasa ni marehemu ana madai yake ya fidia ya ardhi kwenye mamlaka ya maji DAWASA lakini hawataki kuilipa familia yake. Kwa kifupi ni kuwa DAWASA walipita hawamu mbili kuchukua eneo kwa ajili ya mradi, awamu ya kwanza walimlipa na awamu ya pili walikuja akiwa hai wakamsainisha fomu namba 1 ya uthamini lakini fomu ya madai namba 69 hawakumpa ila eneo lake wamechukua.

Nimekwenda DAWASA na shauri la mirathi na barua ya utambulisho ya serikali ya mtaa hawataki kulipa eti wanadai fomu namba 60 ambayo hawakumpa. Sasa ninaomba ushauri kujua kama hiyo fomu aidha alipoteza au hakupewa,je hiyo fomu inaweza kumzuia MTU kupata stahiki zake kisheria?
 
ushauri wa kisheria unaomba JF? mtafute wakili msomi akupe ushauri wa kisheria kuhusu hilo suala lako. kama haujapata suluhisho njoo inbox.
 
Mzee wangu ambaye kwa sasa ni marehemu ana madai yake ya fidia ya ardhi kwenye mamlaka ya maji DAWASA lakini hawataki kuilipa familia yake.Kwa kifupi ni kuwa DAWASA walipita hawamu mbili kuchukua eneo kwa ajili ya mradi,awamu ya kwanza walimlipa na awamu ya pili walikuja akiwa hai wakamsainisha fomu namba 1 ya uthamini lakini fomu ya madai namba 69 hawakumpa ila eneo lake wamechukua.Nimekwenda DAWASA na shauri la mirathi na barua ya utambulisho ya serikali ya mtaa hawataki kulipa eti wanadai fomu namba 60 ambayo hawakumpa.Sasa ninaomba ushauri kujua kama hiyo fomu aidha alipoteza au hakupewa,je hiyo fomu inaweza kumzuia MTU kupata stahiki zake kisheria?
Acheni dharau nyie...

Mbona mkienda kwa daktari mnalipia huo ushauri wa kitatibu kwanini mnaona ugumu kulipia huu wa kisheria??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni dharau nyie...

Mbona mkienda kwa daktari mnalipia huo ushauri wa kitatibu kwanini mnaona ugumu kulipia huu wa kisheria??

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother hawa watu wana mambo ya ajabu sana. sheria ni noble prosession hivyo lazima tuzidi kudumisha hii sifa kubwa ya profesion yetu. Tatizo humu ndani kuna wanasheria vishoka ambao wanaishusha sana kwa kutoa ushauri wa bure humu ndani.

Kama unataka ushauri wa kisheria mtafute wakili akupe huo ushauri na ulipie fee ya huo ushauri kulingana na mtakavyoelewana. Mfano mnaweza kupatana umlipe laki moja kila baada ya nusu saa. Please let us be expensive, learned brothers & sisters.
 
Brother hawa watu wana mambo ya ajabu sana. sheria ni noble prosession hivyo lazima tuzidi kudumisha hii sifa kubwa ya profesion yetu. Tatizo humu ndani kuna wanasheria vishoka ambao wanaishusha sana kwa kutoa ushauri wa bure humu ndani. Kama unataka ushauri wa kisheria mtafute wakili akupe huo ushauri na ulipie fee ya huo ushauri kulingana na mtakavyoelewana. Mfano mnaweza kupatana umlipe laki moja kila baada ya nusu saa. Please let us be expensive, learned brothers & sisters.
Haha Mkuu bora muwe wa wakali.
Njaa zinadumaza profession!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom