Tafadhari wanasheria wasomi naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu fidia ya ardhi

butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,300
7,355
Mzee wangu ambaye kwa sasa ni marehemu ana madai yake ya fidia ya ardhi kwenye mamlaka ya maji DAWASA lakini hawataki kuilipa familia yake.Kwa kifupi ni kuwa DAWASA walipita hawamu mbili kuchukua eneo kwa ajili ya mradi,awamu ya kwanza walimlipa na awamu ya pili walikuja akiwa hai wakamsainisha fomu namba 1 ya uthamini lakini fomu ya madai namba 69 hawakumpa ila eneo lake wamechukua.Nimekwenda DAWASA na shauri la mirathi na barua ya utambulisho ya serikali ya mtaa hawataki kulipa eti wanadai fomu namba 60 ambayo hawakumpa.Sasa ninaomba ushauri kujua kama hiyo fomu aidha alipoteza au hakupewa,je hiyo fomu inaweza kumzuia MTU kupata stahiki zake kisheria?
 
Kama wewe ni msimamizi wa mirathi fungua shitaka la madai mahakamani.
Waone wana sheria walio karibu na wewe wakusikilize vizuri ili wakupe njia sahihi ya kufuata.
 
Back
Top Bottom