Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,257
Wakubwa shikamoooooo !!, wa rika langu habari za jioni ??, ninaowazidi marhaba wakuu ni kwamba nimenunua kiwanja kama nusu ekari karibu na hospitali ya mkoa huko kwetu Njombe, Sasa nipeni ushauri ,hivi ni biashara ipi inaweza kunilipa nikianzisha ???. karibuni wakubwa.