TAFADHARI USHAURI NA MSAADA NIFANYE NINI NIMEKWAMA

JMP Mchungu

JMP Mchungu

Senior Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
134
Likes
68
Points
45
Age
23
JMP Mchungu

JMP Mchungu

Senior Member
Joined Jun 30, 2015
134 68 45
Ndugu zangu wa JF najua wapo kaka zangu,dada zangu na wadogo zangu pia!
Mwenzenu nimepata chuo na nilijitahidi nikapata hela kwa ajiri ya usafiri pamoja na "direct cost" ili kulipia pale UDOM ila kwa bahati mbaya imetokea ghafla Mama kapigwa PRESHA ya kupanda na kulazwa na nikalazimika kutumia hiyo hela kwakuwa sina msaada toka kwingine na hiyo inakaribia kuisha! NIFANYE NINI NIENDE CHUO KWAKUWA SINA PA KUPATA HIYO HELA TENA! JE NIACHE MPAKA MWAKANI? NIFANYE NINI MIMI JAMANI
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,219
Likes
16,991
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,219 16,991 280
Uza simu au tapeli mtu au kwapua kama ccm wanavyofanya utalipa next ukirudi

Swissme
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
5,749
Likes
6,852
Points
280
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
5,749 6,852 280
Ndugu zangu wa JF najua wapo kaka zangu,dada zangu na wadogo zangu pia!
Mwenzenu nimepata chuo na nilijitahidi nikapata hela kwa ajiri ya usafiri pamoja na "direct cost" ili kulipia pale UDOM ila kwa bahati mbaya imetokea ghafla Mama kapigwa PRESHA ya kupanda na kulazwa na nikalazimika kutumia hiyo hela kwakuwa sina msaada toka kwingine na hiyo inakaribia kuisha! NIFANYE NINI NIENDE CHUO KWAKUWA SINA PA KUPATA HIYO HELA TENA! JE NIACHE MPAKA MWAKANI? NIFANYE NINI MIMI JAMANI
Pole sana

Kwa sasa usichukue maamuzi ya kuahirisha mwaka.
Jaribu kutafuta benefactors kwenye taasisi mbalimbali , naamini wapo watakaoguswa na kukusaidia.
 
JMP Mchungu

JMP Mchungu

Senior Member
Joined
Jun 30, 2015
Messages
134
Likes
68
Points
45
Age
23
JMP Mchungu

JMP Mchungu

Senior Member
Joined Jun 30, 2015
134 68 45
Pole sana

Kwa sasa usichukue maamuzi ya kuhirisha mwaka.
Jaribu kutafuta benefactors kwenye taasisi mbalimbali , naamini wapo watakaoguswa na kukusaidia.
Asante
 
Handsome man

Handsome man

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Messages
901
Likes
935
Points
180
Handsome man

Handsome man

JF-Expert Member
Joined May 6, 2017
901 935 180
Daaah poleh sana mkuu , muombe mother apone faster, hayo ya elimu yata jisettle yenyewe
 
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified User
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,756
Likes
5,011
Points
280
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified User
Joined Sep 13, 2014
6,756 5,011 280
Uza hii simu ununue ya elfu 22 Internet utatumia computer za chuo. Halafu weka tangazo kuwa unafua nguo
Cheki ratiba yako ukipata order kila jioni wafulie upate elfu 5 kwa siku
 
Forum statistics

Threads 1,213,521
Members 462,176
Posts 28,480,878