KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Ndugu zangu wa JF mambo vp natumi mu wazima naombeni msaada kwa anayefahamu au anayeweza au akanisaidia kunidownloadia huu wimbo naupenda saaana.Ni wimbo wa gospel kutoka nchini Zambia unaitwa "KATALALIKA WAMABIMBI"