Tafadhalini nisaidieni jinsi ya kuudownload wimbo huu!!!!!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
271
Ndugu zangu wa JF mambo vp natumi mu wazima naombeni msaada kwa anayefahamu au anayeweza au akanisaidia kunidownloadia huu wimbo naupenda saaana.Ni wimbo wa gospel kutoka nchini Zambia unaitwa "KATALALIKA WAMABIMBI"
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,682
31,159
upo youtube? Kama upo nenda http:// m.vuclip.com nafkiri ndo store kubwa ya mobile videos i search then kipindi cha kudownload zitakuja option 2 either kudownload kama video au kudownload sauti (mp3)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom