Tafadhalini niaidieni wataalamu wa umeme wa jua

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
wanaJF wenzangu mambo vp???? Natumai mu wazima.Wataalam wa umeme wa jua naomba ushauri kwenu ninahitaji kufunga umeme wa jua kwa sababu niko mbali na inakopatikana nishati hiyo ya gridi ya taifa.Vifaa ninavyohitaji kutumia FREEZER,HOME THEATER,TV LCD inch32,DECODER,DVD DECK,pamoja na TAA 50 itategemeana na ushauri wenu kuhusiana na taa.Nifahamisheni solar panel zinazohitajika ni wats ngapi, betri,na kidhibiti chaji.Tafadhalini nahitaji mchango wenu wa kimawazo maana nahitaji kumfungia mzee huko kijijini.Sipo mjini kwa sasa niko kijijini ndio maana nimelileta hili mbele yenu maana ningelikuwa mjini ingelikuwa rahisi kidogo kufanikisha hili.Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom