Tafadhalini naomba msaada wa hii hesabu

mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,413
8,398
48 students in an economics class selected three subjects , ie Economics Development, Public Finance and Mathematics. Of these 35 students took Economic Development, 8 took Public Finance and 5 took both Economic Development and Public Finance .Of all those who took Mathematics also took Economic Development.The number of those who took Economic Development only is half the number of students who took Public Finance only.Given that x is the number of students who took all three types o subjects.
required: Draw venn diagram to show the above fact and hence find x.
 
Nimelipata jibu ila kuweka soln yake hapa nimeshindwa 7bu natumia cmu
 
avatar51172_1.gif
 
Swali lako ni rahisi kulitafutia jawabu ila kuna tungo tata (The number of those who took Economic Development only is half the number of students who took Public Finance only) inabidi uiangalie vizuri hasa kwa kulenga kuwa idadi kuu (population) ni 48. Thanks!!!
 
nipe majibu tu venn diagram nitachora mwenyewe ukianza na x

Watu wengine bwana wavivu sana kutumia vichwa, kusoma hujui hata picha nayo patupu??
x hiyo hapo umepewa kwamba ni number of students who took all three types of subjects. Ugumu uko wapi hapo sasa?? Pigia mstari hilo jibu nililokupa.
 
Swali lako ni rahisi kulitafutia jawabu ila kuna tungo tata (The number of those who took Economic Development only is half the number of students who took Public Finance only) inabidi uiangalie vizuri hasa kwa kulenga kuwa idadi kuu (population) ni 48. Thanks!!!
Ni kweli tatizo liko hapo mfano ukipata jibu la student who took public finance ni watatu nusu yake watakuwa mmoja na nusu jambo ambalo haliwezekani ndio maana nilileta swali huku nikiamini kuna wataalamu watanisaidia.
 
Watu wengine bwana wavivu sana kutumia vichwa, kusoma hujui hata picha nayo patupu??
x hiyo hapo umepewa kwamba ni number of students who took all three types of subjects. Ugumu uko wapi hapo sasa?? Pigia mstari hilo jibu nililokupa.
Hapo kwenye x lazima uweke number ambayo inawakilisha idadi ya wanafunzi waliochukua masomo yote matatu na sio x kama unavyodhani.
 
Ngoja nitafute setup ya PSPP au SPSS nishushe hapa uone!!!.Ila net iko slow ningekupa jibu faster!!
 
Swali lako sio gumu ila halijakamika, halijaongelea kama kuna(wapo au hawapo) wanafunzi wanaosoma both mathematics and public finance, hivyo jaribu kulipitia ulikolinakili then tuone inakuaje.
 
Ni kweli tatizo liko hapo mfano ukipata jibu la student who took public finance ni watatu nusu yake watakuwa mmoja na nusu jambo ambalo haliwezekani ndio maana nilileta swali huku nikiamini kuna wataalamu watanisaidia.

si rahisi kwani anayetunga swali huwa anaingiza namba na hivyo si rahisi kuingiza nusu wakati anajua anazungumzia variable ambayo haiwezi kuwa nusu.
 
48 students in an economics class selected three subjects , ie Economics Development, Public Finance and Mathematics. Of these 35 students took Economic Development, 8 took Public Finance and 5 took both Economic Development and Public Finance .Of all those who took Mathematics also took Economic Development.The number of those who took Economic Development only is half the number of students who took Public Finance only.Given that x is the number of students who took all three types o subjects.
required: Draw venn diagram to show the above fact and hence find x.

Fuata taratibu zote za kuchora venn diagram but remember that no one takes Mathematics only and also no one takes both Math and public finance(i mean the place where only the two "circles" meet)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom