barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Ni hayo tu, nimetokea kumkubali na kapendeza!
Dah!ivona kamuntu
Simjui, ndo nani?Unamjua Raymond nyamwihula ww.???
Mbona huyo wanampenda wengi??!!
Itabidi nami nianze kumpenda aisee!
Nguo yenyewe ndo hiyo?Huyu si walimjadili hapa jukwaani kuwa anavaa nguo moja kila siku
Julieth robert?? Julia Roberts?Namzimia Julieth Robert wa ITV
Beauty is in the eye of the beholder!Mbna wa kawaida ru
.Mange kimambi anatangaza siku hizi?
Na kibiongo anacho pia.Mbna wa kawaida ru
Hiichi Inasikitisha mizuzu kibao.Tafadharini: Tafadhalini:?? Jamaaan
Hiichi inaenda wapi Etiiii