Elia F Michael
Member
- Mar 3, 2018
- 75
- 799
ZIARA YA WAZIRI MKUU KAKONKO.
Naambiwa ulinzi ni mkali sana na wananchi wanatishwa na maafisa wa usalama kwamba wasiulize maswali.
Najua haya mambo yalishafika mezani kwako ila mimi nakukumbusha tu;
1. Mh Waziri mkuu,najua upo Muhange kwenye soko la ujirani mwema na Nchi ya Burundi lakini nikueleze kwamba POLISI KAKONKO wiki 5 zilizopita iliwaua Warundi 8 waliokuwa wanalima mashambani kama vibarua Kwenye kijiji cha Mganza Wilaya ya Kakonko na wakawazika Shimo moja,hii ni hatari sana kwa mahusiano. Nilimueleza Mkuu wa Wilaya ya Kakonko jambo hilo na analifahamu vizuri.
2. Mh Waziri Mkuu kuna miradi ya maji 3 katika Kata ya Nyabibuye,Gwanumpu na Kakonko yenye thamani ya Tsh Bilioni 1.57 lakini wakandarasi waliopewa kazi hizo hawana uwezo wa kifedha na kuna harufu ya upigaji maana miradi yote ipo chini ya 30% na muda ulishaisha bila kuikamilisha.
3. Mh waziri Mkuu najua kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko Lusubilo Mwakabibi ni Ndugu yako lakini tuambie kwanini Mkurugenzi huyo, afisa mipango, Mhasibu wa wilaya ,Afsa utumishi na Mwanasheria kwanini walihama siku moja wakati wakiacha hoja za ukaguzi zilizokuwa zinaonyesha upotevu wa fedha za UMMA?
Uhamisho huu hauna baraka zako?
4. Mh Waziri Mkuu elezea Hivyo vitambulisho vya wajasiliamali maana naona hadi waokota Makopo Ruvuma wanapatiwa vitambulisho.
Asante kwa kuja Kakonko!
Elia..
Diwani Gwarama.ZIARA YA WAZIRI MKUU KAKONKO.

Diwani Gwarama.
Sent using Jamii Forums mobile app