Ndugu zangu,
"Kwenye Nchi Ya Kusadikika dharau haina bei.
Watu hununua dharau kwa bei ya chini sana. Ni kwa ukinyonga wao.
Na ajabu ya Nchi ya Kusadikika vinyonga hupewa nafasi kubwa sana ya kusikilizwa wanapoelezea jinsi wanavyobadilika.
Na ajabu ya kinyonga wa kusadikika ni kwamba, huwezi kuwa na hakika kama amebaki na rangi hiyo hiyo anapomaliza sentesi yake ya mwisho kuelezea kubadilika kwake!"- Tafadhali Usininukuu.
Maggid.