Tafadhali usile samaki hata kwa mwaka mmoja kuanzia sasa!! CCM hawaaminiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali usile samaki hata kwa mwaka mmoja kuanzia sasa!! CCM hawaaminiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by payuka, Jul 27, 2011.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Laiti ningekuwa najua ni aina gani ya samaki walioingizwa nchini kuoka japani ningekuambia usiwale hao samaki kwa mwaka mzima. Na ninasababu za msingi za kukuambia hivyo.
  Serikali ya JK sio makini, imejaa watu walafi ambao hawaoni shida kutengeneza faida kwa kuwatoa kafara watanzania wenzao. Wanaweza hata kubadili makontena, yale yenye samaki walio na mionzi ya nyuklia yakaingia sokoni na ya dagaa kutoka kigoma yakaletwa.
  Ushauri wangu ndo huo, CCM hawaaminiki hata chembe.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa wanaweza kunywa hata uji wa mgonjwa sio watu kabisa hawa
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Daaaa,huyo hafai kumuuguza mgonjw
   
 4. gwino

  gwino JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  maisha ye2 na afya ze2 zipo hatarini.
   
 5. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Mi nakula bwana, kama nikutuua ccm walishatuua tunangoja tufe mara ngapi?
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nimeshtushwa sana na taarifa ya Waziri wa uvuvi na mifugo bungeni Dr Mathayo kuwa kiasi cha samaki kilishakwenda FERI. Na hadi sasa hivi kuna kiasi cha samaki wameshindwa kukuridhisha kwa maneno mengine watu wameshakula! Sasa tusubiri cancer 4-5 yrs from now!

  Nategemea mkurugenzi wa TDFA na yule wa TBS wawajibishwe.
   
 7. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  umenichekesha sana na uji wa mgonjwa.
  nyumbani hatuli tena samaki, tumejipa kama miezi sita hivi.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  nini mwaka mmoja, mie kwangu marufuku kula samaki kwa miaka miwili, nikihitaji bora nichukue sato wa mwanza, samaki yoyote wa maji chumvi MARUFUKU!!!!!!!


   
 9. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wameuza nchi, sasa wanataka watumalize wananchi....mhhhhh!!!
   
 10. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itabidi ukipata hamu ya samaki unaenda ziwani mwenyewe
   
 11. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mkuu angalia, Sato naye huwa anavuliwa kwa sumu!!
   
Loading...