Tafadhali usik0se kuangalia hapa

Yasin Yahya

Member
Jan 18, 2013
33
0
Naomba msaada wak0 kama ni mw3ny3 kufahamu jamb0 hili.
Eti kwa mfan0 m2 anatafuta crdt 2 lakin baada ya kurudia mtihani akawa am3fanya vibaya yaan hata cht hapati
J3?huyu m2 anaw3za ku2mia ch3ti chak3 cha mwanz0 kabla hajarudia mtihani
 
Ni hv kwa mfano mtu anatafuta crdt 2 lakn baada ya kufanya mtihani akawa ameharibu.
Je?anaweza kutumia cheti chake cha mwanzo
 
Kama staili hii ndiyo uliitumia kujibu mitihani yako; huna haja ya kurudia tena! kwa kweli hata mimi ambaye si mnajimu naweza tabiri matokeo!
Binafsi nimeshindwa hata kuelewa swali lako na nina mashaka kama wewe si yule aliyechora zombi kwenye karatasi za mitihani.
 
Naomba msaada wak0 kama ni mw3ny3 kufahamu jamb0 hili.
Eti kwa mfan0 m2 anatafuta crdt 2 lakin baada ya kurudia mtihani akawa am3fanya vibaya yaan hata cht hapati
J3?huyu m2 anaw3za ku2mia ch3ti chak3 cha mwanz0 kabla hajarudia mtihani
kama unatumia simu basi simu yako ya kichna ila kama ni kumpyuta peleka kwa fundi fasta keyboard yako ina shida! yani "e" unaandika "3"..ndo nini sasa!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom