Tafadhali tujuane mapema tunashangilia Timu gani 7 tu za Taifa kuelekea FIFA WORLD CUP inayoanza hivi karibuni

Tafadhali tujuane mapema tunashangilia Timu gani 7 tu za Taifa kuelekea FIFA WORLD CUP inayoanza hivi karibuni

Mimi ni Tanzania.
Ila Mtu Timanu angejiuliza kwanini Tanzania Hatuchezi kombe la Dunia.

Ila kwasababu wewe ni Nyani Endelea kuruka polini.
Nyani ni Mama yako Mzazi aliyekuzaa Nyani Gegedu Wewe.
 
Zangu Fundi na kwa Kujiamini kabisa nina uhakika 4 zitatoboa hadi Nusu Fainali, 2 Fainali na 1 kuwa Bingwa kabisa

1. ARGENTINA
2. GERMANY
3. SPAIN
4. MEXICO
5. NETHERLANDS
6. SENEGAL
7. GHANA

Na Watu wote wa Mpira na wanaoujua vyema Mpira ni lazima tu Watazichagua hizi Timu zangu 7 nilizozitaja hapa....
Leo nakuunga mkono popoma tupo pamoja, Ww mbele mm nyuma yako
 
Km kushangilia Naenda na DRC ( damu nzito ) ila km ubingwa Naenda Brazil , sijui nitafika Fainali au ndio mapema tu narudi
 
1:France
2Portugal
3:Spain
4:England
5:Mexico

Kombe la dunia kuanzia mwaka 2002 bingwa mtetezi amekua akitoka hatua ya makundi. Ni France tu ndio kabeba 2018 Urusi, napia kacheza fainali 2022 Qatar. Hivyo nampa nafasi kubwa kuchukua kombe hili.
 
Fainali itakua kati ya Brasil na France.

Ps. Ikiwa hawatakutana hatua za mtoano. Wakikutana mtoano Brasil atasonga mbele.
 
Back
Top Bottom