Tafadhali Tafadhali Sana Dini Isiwe Kichaka cha Udhaifu wa Ccm na Serikali yake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali Tafadhali Sana Dini Isiwe Kichaka cha Udhaifu wa Ccm na Serikali yake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 10, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wandugu wanaJF,
  Kuna tabia imeanza kushamiri humu janvini ya kuchangia hoja kwa mtazamo wa kidini badala ya ku-focus kwenye hoja yenyewe. Mfano mzuri ni hoja ambayo bado ni 'moto' ya unyanyasaji na mauwaji yaliyofanywa na vibaraka wa sisiem na serikali yake jijini arusha. Kuna kikundi cha wachovu kinadai eti wakristo wanamchukia jk!! Hiyo ni janja ya kutaka tuondoke kwenye agenda kuu. Kama wakristo wanamchukia jk ilikuaje wakristo hao hao mwaka 2005 walimchagua tena kwa kishindo!! Ningekuwa na uwezo, ningefutilia mbali humu janvini vijitu vyote vinavyotazama kila jambo kwa macho ya udini.
   
Loading...